Mzinduzi wa kampeni za CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzinduzi wa kampeni za CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mkirua vunjo, Mar 5, 2012.

 1. m

  mkirua vunjo Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wana Arumeru nimesikia kuwa Mzee Mkapa ndio atakuwa kiongozi wa uzinduzi wa kampeni za CCM hapa kwetu Arumeru MAshariki.

  Naomba akija ajibu maswali haya

  1. Shamba la Madira Estate walilojigawia na Kimaro litarudishwa lini kwa wananchi wa Arumeru wenye ufinyu wa Ardhi.
  3. Shamba la Mauwa analomiliki na Mholanzi Jerome na kutoa ajira mbali na wananchi wa Arumeru, Je atatuambia nini sisi wana Arumeru MAshariki.
  3. Kwa nini Mashamba ya huyu bwana Jerome hayalipi Service levy
  3. Kuna shamba lililoko Tengeru ambaye amekuwa akimiliki na singa singa ammoja lenye ukubwa wa Ekari 3000, Je kwa nini asiwe anatupa tulime mazao ya muda mfupi kwakuwa shamba hilo hukitumia wakati wa kilimo tuu, Na je alijipatiaje hilo shamba huku wana arumeru tukiwa na ufinyu wa Ardhi.

  Naomba aanzwe na hayo kwanza

  Naomba kuwasilisha
   
 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,357
  Trophy Points: 280
  kwenye mikutano ya kampeni ccm hawaruhusu maswali
   
 3. kilght

  kilght JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 626
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  huna ruhusa ya kumuuliza mungu mtu maswali kama hayo
   
 4. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  haturuhusiwi kuhoji wajibu wetu kusikiliza tu.elimu yetu ni ndogo kuuliza maswali.
   
 5. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,634
  Likes Received: 1,407
  Trophy Points: 280
  mkuu sidhani kama wataruhusu maswali
   
 6. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Cha ajabu kuna watu wataenda kumsikiliza na kumshangilia huyo fisadi.
   
 7. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ndo Tanzania yetu hiyo.
   
 8. S

  Shembago JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nawaomba Wana Arumeru mashariki wasipoteze muda kwenda kusikiliza mikutano ya Magamba,maana hawana jipya wao wawe na nia moja ndani ya Mioyo yao kumchangua Joshua Nassari kuwa mbunge wao siku hiyo ya April 01-2012.Kutomchagua Nassari nikuhalalisha na kusheherekea the so called siku ya wajinga duniani!
   
Loading...