Wabunge wote wa CHADEMA kuhamia Arumeru nini tafsiri yake?

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Nimesoma kwenye gazeti moja likisema Wabunge wote wa CHADEMA kuhamia Arumeru Mashariki kwa kambeni. Aidha taarifa imeendelea kusema kuwa hata Mkutano mkuu wa CHADEMA uliokuwa ufanyke umeahirishwa.
Nini tafsiri ya hili? SIYOI ni tishio? au CHADEMA wamekwisa sasa wanatapatapa?
 
We kweli ni mwehu!kwa hiyo ndo ulivyofikiria na kuja jukwaani na upuuzi kama huu?dhahiri umetumwa!Kuhamia arumeru ni kudhihirisha umoja uliopo ndani ya chama!ie cdm!na nyie magamba hamisheni pia wa kwenu!
 
Nimesoma kwenye gazeti moja likisema Wabunge wote wa CHADEMA kuhamia Arumeru Mashariki kwa kambeni. Aidha taarifa imeendelea kusema kuwa hata Mkutano mkuu wa CHADEMA uliokuwa ufanyke umeahirishwa.
Nini tafsiri ya hili? SIYOI ni tishio? au CHADEMA wamekwisa sasa wanatapatapa?
Hhu!! Unataka kuniambia uwezo wako wa kufikiri umeishia hapa???
 
posho kaka posho inawatesa sana wale watu wanaenda kugawana ruzuku kwa kisingizio cha uchaguzi
 
420512_10150575550606156_687191155_9648383_353347232_n.jpg
 
Hhu!! Unataka kuniambia uwezo wako wa kufikiri umeishia hapa???

Si busara kumjibu mleta Uzi kwa hasira,bali mrejesheni kwa amani upole ili aelewa maana ya jumuiko la wabunge wa chadema kule arumeru mashariki.Tafsiri yake ni rahisi tuu kushirikiana kwa karibu ili ushindi upatikana na kuonesha kuwa hakuna mawaa ndani ya chadema kwa wanachama na wabunge pia,wote wako pamoja.Hii ndo tafsiri halisi na sio kama ccm ambao wengine wamepigwa marufuku kukanyaga arumeru siwezi kuwataja maana wanajulikana wasije kutana na Mh E.N.Lowassa.

Mods ondoeni huu uchafu unaharibu jukwaa letu

Kuwa mvumilivu JF ni jukwaa huru sio mali ya Chadema Mkuu Mods, hawafanyi kazi kwa maelekezo ya Pro-Chadema JF.

Naona unaenda mbali zaidi eti wanachafua jukwaa letu.
 
Nakuunga mkono yaani watu wa humu ndani ikitajwa Chadema tu tofauti na wanavyotaka wao wanakuwa wakali. Jibuni kwa utulivu hoja ya mdau kuliko kumshambulia..
 
Nimesoma kwenye gazeti moja likisema Wabunge wote wa CHADEMA kuhamia Arumeru Mashariki kwa kambeni. Aidha taarifa imeendelea kusema kuwa hata Mkutano mkuu wa CHADEMA uliokuwa ufanyke umeahirishwa.
Nini tafsiri ya hili? SIYOI ni tishio? au CHADEMA wamekwisa sasa wanatapatapa?

Hao ni wazee wa kutaka popularity kwenye current events; tulizeni makalio majimboni mwenu mmalize kero za wapiga kura wenu; 2015 si mbali.
 
Nimesoma kwenye gazeti moja likisema Wabunge wote wa CHADEMA kuhamia Arumeru Mashariki kwa kambeni. Aidha taarifa imeendelea kusema kuwa hata Mkutano mkuu wa CHADEMA uliokuwa ufanyke umeahirishwa.
Nini tafsiri ya hili? SIYOI ni tishio? au CHADEMA wamekwisa sasa wanatapatapa?
mbona nchemba amekuja kugawa hela, tutakula hela yao lkn kura hatuwapi! Nawashuri hizo hela wangekula na washili wa kimeru wanaodhalilisha umeru kwa kumuunga mkono shoga tena aliyejitambulisa kwa kutoboa skio. Cdm wamekuja kulinda kura zetu,,, kwan hatuwajui nyieee,,!
 
Back
Top Bottom