Mwigulu Nchemba & Benjamin Mkapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwigulu Nchemba & Benjamin Mkapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rabi wa Leo, Mar 5, 2012.

 1. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nawasikitikia sana mwigulu nchemba na mh.benjamin willium mkapa kwa jukumu walilokabidhiwa la kupangwa mbele kwenye mapigano makali.Ni wazi kuwa CCM inasita kuwatumia viongozi wake wa kitaifa kwa kuogopa kuhojiwa juu ya ahadi butu walizozitoa ktk chaguzi mbalimbali..Pole sana Nchemba na Mkapa kwa jukumu la kuwabeba wasiobebeka...
   
 2. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ni wazi kuwa ninyi kwa sasa hamuwezi kujibu tuhuma zozote juu ya nini kiliahidiwa,nini kimefanywa na nini hakijafanywa...mtatumia muda mrefu zaidi kumnadi Siyoi bila kuwapo na ile zomeazomea tuliyoizoea..Hata hivo,ukweli haubadiliki kuwa mmewapumbaza watz kwa muda mrefu na mwisho mbaya unawadia...
   
 3. p

  pstar01884 Senior Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Watavuna aibu yao.
  Mmoja ni mlafi wa wake za watu na mwingine ni pande la fisadi. Acha wakafundishwe maadili na Wameru. Inaelekea hawaijui 'Mtu ya Meru' vizuri.
   
 4. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nnachoamini ni kua.,wao wanauona uovu uliojikita kwa baadhi ya wanachama wenzao akiwemo bwana siyoi na tuhuma za rushwa znazomkabili...lakini kwakua uovu huonwa na walio safi na ni hao wawezao kuukemea kwa dhati,wao wataubariki uovu huo na kumnadi bwana mdogo bila hofu...najua fika kuwa wanaArumeru hawawezi kuuvumilia uovu huu,lazima wachague mbivu chache kati ya mbichi nyingi..
   
 5. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,515
  Likes Received: 1,685
  Trophy Points: 280
  Mwambieni Mwigulu hapa Arumeru hatutaki Umalaya. Akileta mambo yake ya Igunga tutamla tigo mchana kweupe
   
 6. B

  BMT JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  mkapa ni chaguo sahih kwa wakat sahhi kama huu ndan ya ccm,cdm wakisikia mkapa tu mnapwaya mi sjui n kwann ?mmaboa bwana mara hoo mkapa kawa hv,mbona anaheshmka sana kmataifa,mkajipange mje upya,mzee nenda katuletee ushndi wa kishindo wanaccm wenzio
   
 7. S

  STIDE JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hawa wote ni MA-SUPERSTAR wa kuiba kura!!!
   
 8. B

  BMT JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  waliiba wapi?acha kuleta chuki
   
 9. Kakulwa P

  Kakulwa P JF-Expert Member

  #9
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Igunga alisema ni half London pamoja na shida zilizopo hapo. Arumeru awaambie AnBEN imefikia wapi.
   
 10. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #10
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Washenzi tu hawa.
   
 11. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #11
  Mar 5, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Leo jioni nchemba alikuwa anaongea na vijana hapa usa river, cha ajabu wamemuuliza maswali kibao ameshindwa kuyajibu kabakia kupiga porojo tu mwusho wa maongezi wakamwambia ni vidole juu mwaka huu, muulizeni kama nimesema uongo
   
Loading...