Kauli ya naibu waziri wa afya ni udhbitisho wa raisi kumkatalia kujiuzulu!

mayoscissors

JF-Expert Member
Nov 24, 2009
975
471
Kujiuzulu haiwezi kamwe kuwa nje ya uwezo wa mtu mwenye utashi wake,kauli ya dr.Lucy Nkya kuwa kujiuzulu kuko nje ya uwezo wake ni kutuambia kaandika barua na bosi wake kamgomea kujiuzulu.
Mungu tuepushie mbali mgomo ila kama ukitokea maisha yatapotea hasa watoto wachanga na akina mama wajawazito kwani ndo msimu wa kuzaa kwa wingi na hakutakuwa na cha intern wala cha dr.bingwa!
Mungu tuepushe gharika hili.
 
Tupe source......!!!!!!!!!! kama mkubwa wake hataki basi wananchi watamwajibisha kwani kuna nini katika uwaziri mpaka aung'ang'anie? kwani alizaliwa akiwa akiwa waziri? kwanza wengi tulikuwa hatujui kuwa yeye ni naibu waziri mpaka baada ya mgomo, maana siyo creative wanaonekana wakifungua warsha tu wakati watanzania bado tuna lala chini na hospitalin hakuna dawa! Tatizo wanaongoza hizi wizara kwa mazoea tu........!!!!!
 
hiyo kauli ni tosha kumkumbusha JK kwamba paka anachezewa masharubu:eyebrows:
 
hata mimi nilisikia mponda aliomba kujiuzulu JK akamkatalia
 
Sasa ndugu matus ya nn? Umeshindwa kumjibu kistaarabu. Acha mambo ya kihuni!
 
hata Pinda alifikiri hawezi kuwatimua viongoz wake, ila maji yalipofika utosini alijikuta AMEROPOKA KUWATIMUA. Time will tell Madaktari msiwalazie damu hao ma.bwe.ge
 
wajiuzulu ili iweje huo utaratibu haupo kwenye hii nchi tutausikia tu kwenye nchi za wenzetu,wagome tu kujiuzulu,si wanafikiri kuwa kiongozi tz ni sawa na kuwa na hatimiliki ya hii nchi,ukivurunda hakuna wa kukuwajibisha wala kuwajibika
 
Back
Top Bottom