Kuhusu bajeti ya uchanguzi mdogo wa ubunge jimbo la Arumeru Mashariki, Mnyika alisema chama kimeamua kuwa kampeni za uchaguzi huo ziendeshwe kwa nguvu ya umma bila kutegemea ruzuku za chama...
JK ni miongoni mwa marais wachache wanaotawala bila ya kuwa na presha toka kwa watawaliwa pamoja na hali ngumu wanayo kuwa nayo watawaliwa.Jk amekuwa na bahati zifuatazo:-
1.Amewadanganya watz...
Kufuatia kikao cha madaktari kilichoazimia kuendelea na mgomo waliousitisha ifikapo jumatano (7/03/2012) kwa kutotekelezwa baadhi ya makubalionao walioafikiana na serikali chini ya Waziri mkuu...
Alimashauri ya wilaya monduli miaka mitatu ilipita walitenga eneo la viwanja kwa wakazi wa kata ya mondumjini,baada ya wakazi wachache kukosa viwanja kwenye eneo la awali lililotwengwa,eneo la...
Madaktari ndio hao wanatangaza mgomo,serikali nayoongozwa na CCM inashindwa kuwalipa na kuwasikiliza madaktari.Je ni bajeti kiasi gani itatumika ktk uchaguzi mdogo arumeru?na kama mwajiamini...
Fredy Azzah
BAADA ya miaka 29 ya kuwa bungeni na 17 ya kuwa Mbunge wa Njombe Kusini, Spika Anne Makinda amesema sasa inatosha.
Makinda amewaomba wananchi wa Jimbo la Njombe Kusini hivi karibuni...
Nikatika hali ya kushangaza toka jana baada ya kesi kuhairishwa hadi leo ndipo mashaidi walipoanza kurushiana maneno na hatimaye kupelekea mashaidi leo kutouzuria mahakamani mchana wa leo ndipo...
HOTUBA YA MHESHIMIWA DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA KUFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA MAAFISA WAANDAMIZI WA JESHI LA POLISI,
CHUO CHA POLISI MOSHI...
soko jingine tena laungua moto.ivi saizi naelekea eneo la tukio huku nyumban naona moshi mwingi hewan na moto unawaka kwa kasi.polen ndg zangu wote wa tunduma
Leo msa mkangaa amehitimisha mashahidi,nibaada ya pingamizi alilo weka wakili wake jana kua wanaomba kubadilishwa kwa hati ya mashitaka,leo jaji katupilia mbali pingamizi hilo na kuamuru aendelee...
Pamoja na haya yanayoendelea, kuna waraka umetoka utumishi hivi majuzi kuzitaka hospitali
na taasisi kutokuwatambua madaktari kama maspeshalisti mara baada ya kugraduate
hadi pale ambapo...
Wakuu
Najiuliza swali.
Tanzania tulikuwa na kiwanda cha kusafisha mafutai kihokuwa chini ya TPDC . Lakini kwa sababu mbalimbali inasemekana kikafungwa. Huku kusini mwa afrika kiwanda kama...
Imenisikitisha sana niliposikia tamko la madaktari kupitia ITV habari mpasuka kuwa wataendelea na mgomo ikiwa wabaya wao Dr Haji Mponda na Dr Nkya wataendelea kuwepo wizara ya afya kama mawaziri...
Nionavyo mimi afya za viongozi wengi hapa nchini zina mushkeli mkubwa na matokeo yake mabwanyenye hawa hukimbizwa nje ya nchi badala ya kutibiwa hapa nchini. Gharama za kutibu viongozi hawa sasa...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemshambulia Rais Jakaya Kikwete kikimtuhumu kushindwa kuisimamia serikali yake na hivyo kulifanya taifa kuwa katika hali tete inayohatarisha amani ya...
Habari wanabodi,
Waziri wa Maliasili na Utalii amemteua bw. Juma Shabani Mgoo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (Tanzania Forest Services Agency - TFS).
Kabla ya...
Chadema ni chama chenye itikadi, malengo na mwelekeo mwema katika kusimamia misingi bora ya utawala ikiwamo demokrasia, CDM imejipatia umaarufu mkubwa kutokana na kuwa na viongozi shupavu na...
Tanzania has been ranked a head of Kenya as the best place for children to live in East Africa.
United Nations Childrens Fund (UNICEF) said Tanzania has the lowest mortality for children under...
ni wakati wenu sasa wakazi wa arumeru kuiambia dunia kwamba "hatudanganyiki" (kupitia sanduku la kula), mmedanganywa kwa muda mrefu, sasa chukueni hatua.