Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wasomi mbalimbali wamesema sakata la mgogoro wa Madaktari na serikali linachochewa wanasiasa kutokana na misimamo ya wanasiasa hao walioitoa kwa nyakati tofauti huku wasomi hao wakinena kama...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Hivi mbona hatumwoni waziri kivuli wa Afya toka CHADEMA akipita kwenye vyombo vya habari kutupatia msimamo wao juu ya mkutano wa PM na madaktari? Je CHADEMA wanakubaliana na madaktari kumpa Rais...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Taarifa ya habari tbc1, yadaiwa wako 80 ni mawaziri, makatibu, wabunge nk. Yadaiwa walidanganya mali zao. Majina kumi ya mwanzo yametajwa kwa mtiririko huu; 1. Anna Tibaijuka 2. Omary Nundu 3...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Leo ningependa kufanya tafakuri kuhusu wimbo wa Taifa na umuhimu wake katika kujenga Taifa na uzalendo wa watu. Tukiwa Tayari tumeisha organize jamii na kuiweka mifumo yake sawia ambayo kazi yake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wan JF! Nimependa kuchukua fursa hii kukishauri chama chetu makini CDM ambacho ni tegemeo letu na tumaini letu jipya kwa sisi wanyonge, Mchango wa CDM ktk kuisimamia serikali ni mkubwa sana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Appeal Court quashes sentence against Mallya Monday, 05 March 2012 22:55 digg By The Citizen Correspondent Dodoma. The Court of Appeal...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Taarifa rasmi toka kwa kamanda Vicenti Nyerere atakaye ongoza kampeni za CHADEMA huko Arumeru Mashariki ni kuwa wazee wa kishili kata ya Songoro kijiji cha Kilinga wilayani Arumeru wamempa baraka...
10 Reactions
78 Replies
8K Views
wakuu naweka hii thread ili wale wote walioko kwenye eneo la tukio watupe updates za kikao cha majadiliano kati ya waziri mkuu na madaktari walio kwenye mgomo.nimepata habari hivi punde kuwa mh...
28 Reactions
417 Replies
34K Views
Nani Kama John Pombe Magufuli.., 1.Kiongozi mchapakazi anayejituma 2.Kiongozi ambaye hajajilikimbizia mali, tujiulize magufuli anamiliki kampuni gani..? 3.Anatanguliza mbele maslahi ya Taifa, na...
3 Reactions
59 Replies
5K Views
EE jamani magamba wamkumbuke huyu dada angalau apate hela kidogo
1 Reactions
11 Replies
2K Views
, March 05, 2012 President Jakaya Mrisho Kikwete presents General Mirisho Sam Hagai Sarakikya, the country's top climber who at 78 years of age has scaled to the roof of Africa 38...
0 Reactions
75 Replies
15K Views
Naamini u mzima, na najua huwa unapita hapa kama baadhi ya watendaji wako wanavyopita kwa majina bandia. Mgomo wa madraktari ndo ushatangazwa naamini mkuu utaweka siasa na kiburi chako pembeni...
23 Reactions
91 Replies
8K Views
Kwa kuwa Dr Slaa ni mwanasheria na ndo aliyepeperusha bendera ya Chadema 2010 akinadi kuwa mchakato wa katiba mpya utaanza ndani ya siku chache baada ya kuingia madarakani. Napendekeza Dr Slaa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
(1) Poleni sana poleni, poleni tena nasema Nasema tena poleni, kifo cha dada Mtema Hiki ni kitu kigeni, naona kama sinema Mrimu wa Herakuli, namlilia Mtema. (2) Namlilia Mtema, wa Herakuli Mrimu...
5 Reactions
3 Replies
1K Views
Legal and Human Rights Centre Tangazo Mkutano na Waandishi wa Habari Kuhusu uwezekano wa kuwepo Mgomo Mwingine wa Madaktari Mwananchi yeyote anayeguswa na suala la tishio la mgomo wa madaktari...
5 Reactions
39 Replies
4K Views
Kuhusu bajeti ya uchanguzi mdogo wa ubunge jimbo la Arumeru Mashariki, Mnyika alisema chama kimeamua kuwa kampeni za uchaguzi huo ziendeshwe kwa nguvu ya umma bila kutegemea ruzuku za chama...
4 Reactions
46 Replies
5K Views
JK ni miongoni mwa marais wachache wanaotawala bila ya kuwa na presha toka kwa watawaliwa pamoja na hali ngumu wanayo kuwa nayo watawaliwa.Jk amekuwa na bahati zifuatazo:- 1.Amewadanganya watz...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Kufuatia kikao cha madaktari kilichoazimia kuendelea na mgomo waliousitisha ifikapo jumatano (7/03/2012) kwa kutotekelezwa baadhi ya makubalionao walioafikiana na serikali chini ya Waziri mkuu...
4 Reactions
60 Replies
6K Views
Alimashauri ya wilaya monduli miaka mitatu ilipita walitenga eneo la viwanja kwa wakazi wa kata ya mondumjini,baada ya wakazi wachache kukosa viwanja kwenye eneo la awali lililotwengwa,eneo la...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Madaktari ndio hao wanatangaza mgomo,serikali nayoongozwa na CCM inashindwa kuwalipa na kuwasikiliza madaktari.Je ni bajeti kiasi gani itatumika ktk uchaguzi mdogo arumeru?na kama mwajiamini...
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…