Uongozi unapenda kutoa taarifa kwa madaktari wote nchi nzima kuwa hali ya ushirikiano na umoja miongoni mwetu imeendelea kuimarika sana, hospitali mbalimbali zimeendelea kushiriki katika...
wanasiasa wabongo wakipewa pressure ni dhambi kisa watasema watu wengine wanaingilia shughuli za kisiasa lakini wao wakiingilia mambo ya kitaaluma ni halali yao na wanataaluma wana fanya makosa...
Jk hana hata uchungu kidogo juu ya watanzania wanaopoteza maisha yao ,wasio na hatia ????daw ya kuahidi utekelezaji ni kutekeleza ,kikao kitkachofanyika kesho juu ya wazee wa ccm pamoja na...
Mambo yanavyozidi kuvurugika, na serikali inavyoonyesha udhaifu na kutokuliona tatizo kwa undani. Maamuzi ya kibabe na kukurupuka yanayotolewa na waandamizi wa serikali sasa mahakama, hayataleta...
Kuna kanuni ya msingi inagombaniwa katika mgomo huu wa madaktari ulioanza tena baada ya kusitishwa kwa muda wa wiki tatu. Kwamba je wananchi wa Tanzania watatawaliwa jinsi ile watawala...
There have been so many terrible things that have been happening to our African societies without taking serious notice. It has been a tendency for most of African societies to blame if not...
Wagombea wanane wa Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki jana waliteuliwa kuwakilisha vyama vyao. Wagombea hao ni Siyoi Sumari (CCM), Joshua Nassari (Chadema), Shabani Kirita (SAU)...
Nayasema haya nikiwa na uchungu na masikitiko makubwa kwa hiki ambacho madaktari wanachoendelea kututendea waTanzania! kuna machache wacha niyaseme ili moyo wangu utulie!
1. kama sikosei...
Wakuu kuuliza si ujinga,hivi chadema huwa inawapataje wagombea urais kwa tiketi ya chama hicho?Hapa namaanisha mgombea urais na mwenza wake maana kwa mujibu wa katiba yetu rais hagombei peke yake...
MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Quality Group Yusuf Manji, amesema maombi ya kampuni yake kutaka kuingia ubia na Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) kwa gharama ya sh bilioni 1.5...
Ni Kirumba jijini Mwanza kwenye uchaguzi mdogo wa udiwani kufuatia kifo cha diwani NOVATUS MANOKO(CHADEMA)aliyefariki mwaka jana.Siku ni keshokutwa saa nane mchana kwenye viwanja vya Magomeni...
Sifa moja ya magaidi ni kutishia na ikiwezekana kutoa roho za binadamu wasio na hatia ili kutimiziwa malengo yao. Madaktari kuamua kugoma na roho za watu zipotee ili matakwa yao yatimizwe ni...
Taarifa za uhakika nilizopata ndani ya chama kinachomomonyoka (CUF) ni kwamba clique ya Seif-jussa-Mtatiro imetenga karibu Sh 500 milioni kwa ajili ya mapokezi ya Prof Lipumba Jumapili...
Nihapa Kirumba jijini Mwanza lilikuwa likiwatangazia watu wahudhurie uzinduzi wa kampeni za mgombea udiwani kupitia CCM kesho kutwa katika viwanja vya Magomen.Baada ya kupita mitaa ya Mwaloni raia...
Kwa jinsi hali ya nchi kiutawala na kimaendeleo inavyokwenda,nionavyo twendako ni giza tupu ,sasa nikifikiria ile hali ya wazee wetu wa zamani ,tuseme baada ya kipindi cha utumwa ambapo bado...
Damu ya kuongeza wagonjwa mahututi inauzwa ingawa kanuni ya tiba inakataza kufanya hivyo kwani hata wanaojitolea damu hawauzi damu yao kwa hospitali husika. Benki ya damu ni kwa ajili ya dharura...
Kikatiba Ukomo wa wakuu wa mikoa na wilaya ni miaka mitano. Baada ya hapo uteuzi unatakiwa kufanyika tena. Mpaka sasa miaka miwili imepita Rais hajateua wakuu wa wilaya. Tatizo nini?
Hapo si...
Tunapoendelea kusubiri hatma ya mgomo hebu tuangalie huduma binafsi especialy hawa jamaa wa aghakhan. hawa jamaa ni wezi. haiwezekana kumtoa mtoto tumboni jamaa wanachukua milioni 3. kwa huduma...
Mbona kimya sana wanasiasa na Wanaharakati kuhusiana na mgomo wa Madaktari unaoendelea au ndo tumemaliza kazi nini? Thehe thehe thehe thehe. Natania jamani.