watanzania tuwaunge mkono upinzani ambao wanataka mabadiliko ya kweli katika uchumi,,afya,,ajira.,elimu pamoja na kuimarisha misingi ya utawala bora CHADEMA.,For new Tanzania
Rais mstaafu Benjamin Mkapa
MKAPA ATOA SHARTI KUMALIZWA TOFAUTI NDANI YA CHAMA KABLA HAJAZINDUA KAMPENI
Mussa Juma na Peter Saramba, Arumeru
RAIS Mstaafu wa awamu wa tatu, Benjamin Mkapa ambaye...
Habari nilizozipokea sasa hivi kwa njia ya SMS kutoka kwa doctor mmoja pale Mhimbili zinasema hivi,nanukuu,"Hii ya sasa ni bab kubwa responce ni 100% MPAKA EMERGENCY,intern ndio wamemaliza kikao...
Mchakato wa Kumtafuta JF Woman of the Year 2011 umekamilika baada ya kupigwa kwa kura za maoni na baadaye kuwashindanisha walioteuliwa na Tume ya Uchaguzi JF.
Tafadhali Rejea katika uzi ufuatao...
Rais Kikwete ana SIRI!
Kuna siri nzito ambayo mh. JK anayo na ninaamini inamtesa sana. Siri yenyewe ni kama ifutavyo:
Kwamba watu anatuongoza hatutoi msaada kwake. Ninavyoelewa mimi ni...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
SERIKALI YATANGAZA RASMI MIKOA MIPYA MINNE NA WILAYA 19
SERIKALI imetoa matangazo rasmi ya Serikali (Government Notices) kuhusu uanzishaji wa mikoa mipya...
TAARIFA YA TATHMINI YA MGOGORO WA MADAKTARI TOKA TAREHE 03.03.2012
Uongoziunapenda kutoa taarifa kwa madaktari wote nchi nzima kuwa hali ya ushirikiano na umoja miongoni mwetu imeendelea...
Wanajamvi,
Baada ya kumsikiliza Adam Kighoma Malima jioni hii, na kusikia akisema ana haki ya kutembea na vijipesa vyake takriban dola elfu nne na shilingi zaidi ya milioni moja taslimu...
UZINDUZI wa kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi uliokuwa ufanyike Machi 10 imeingia dosari kubwa kufuatia kukataa kwa Rais Mstaafu Benjamin Mkapa...
Kesho kutakuwa na mkutano wa madaktari, saa tatu asubuhi. Agenda ni mrejesho kutoka MAT na Jumuiya ya Madaktari (Mrejesho kutoka mkutano ikulu, kuhusu Court Injuction, etc). Ukumbi utatangazwa...
Katika kutimilika kwa kauli ya "Penye ukweli,uongo hujitenga." Kwa habari zilizopo hapa jijini Mwanza ,Mbunge wa jimbo la Ilemela, kamanda Highness ameshinda kesi yake ya pingamizi dhidi ya Dialo-...
Nilisikia jana kuwa wanahakati binafsi wataandamana kupinga mgoma wa madaktari nikawa na shauku ya kujua wanaharakati hawa wazalendo. Nilipowa kwenye taaarifa ya habari chanel 10, nimeishiwa pozi...
TBC 1 wametangaza ktk taharifa yao ya saa 2 kuisha kwa mgomo wa madaktari. Je, ni kweli kwamba mgomo umeisha?
Kama umeisha maafikiano yalikuwaje?
Majibu wadau.
Wazee wa Meru na kundi linalodhaniwa kuwa na la KAMBI YA SARAKIKYA na ELISHILIA KAAYA wamesema hakuna ubishi SIOI SUMARI amebebwa kwa nguvu ya hela. Watu wake wengi tu wameshikwa katika kuhusishwa...
Rais Kikwete
Mr. President,
The failure of your government to resolve the current doctors' strike in the country is an absolute affront to the dignity of all Tanzanians at home and abroad, sick...
Sasa nimeelewa kumbe kweli Serikali imejipanga sawia kukabiliana na mgomo, Hongera Pinda kwa kusema kweli. Kumbe hii serikali ina utashi mkubwa, ipo makini na inajua kupangilia sawia mambo ya...
Kwa mara nyingine tena mahakama zetu zimezidi kujionyesha wazi jinsi zinavyotumiwa na serikali kama mdoli wake
kwa kutoa hukumu saa kumi za usiku bila hata ya mshtakiwa kupewa muda wa kutosha...
Madaktari wanapigania posho, wabunge nao hivo hivyo kutokan ana ugumu wa maisha. Raia wa kawaida, yaani mlipa kodi hana uhakika wa mlo wake kwa siku kutokana na ugumu wa maisha anaokabiliana nao...
wadau nipo hapa hadees posta gorofani nimeweka decoder yangu kuna baadhi ya majamaa ka 6 akiwemo kada flani wa chama flani, eti wanaandaa maandamano kupinga mgomo wa madktari. But inavoenakana...