Madai ya TBC 1 Kuwa mgomo wa madaktari umeisha ni kweli? Wadau majibu tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madai ya TBC 1 Kuwa mgomo wa madaktari umeisha ni kweli? Wadau majibu tafadhali

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by magistergtz, Mar 9, 2012.

 1. magistergtz

  magistergtz JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  TBC 1 wametangaza ktk taharifa yao ya saa 2 kuisha kwa mgomo wa madaktari. Je, ni kweli kwamba mgomo umeisha?
  Kama umeisha maafikiano yalikuwaje?
  Majibu wadau.
   
 2. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  . Tbc hatuiamini tena labda hizo habari zitangazwe kwenye media nyingine ndio tutaamini.
  .
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwa misingi tu kwa TB-CCM hikututangazia kuanza kwa Mgomo wa Madaktari nchini vile vile inafuata kimntiki kwamba chombo hiki kitakua si chombo sahihi kujitokeza mbele ya jamii kututangazia kumalizika na au kuendelea kwa hayo mshibu ya sekta ya afya nchini.
   
 4. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Nan keshaenda Ikulu akabaki na msimamo wake wa awali??? Sijui wanafanywa nini kule?
   
 5. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kumbe mgomo ni dsm tu, huko mara, tabora nk madaktari walikuwa mzigoni kama kawa.
   
 6. Possibles

  Possibles JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  Pengine wamefikia suluhu na mheshimiwa. Madaktari twaomba update tafadhali najua mpo humu ili tujue na sie.
   
 7. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hata mimi nimesikia lakini bado sina imani na tv hiyo kutokana na kukaa kipropaganda sana.
   
 8. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,537
  Likes Received: 10,458
  Trophy Points: 280
  pinda mbona hamalizi picha si alisema serikali imejipanga vya kutosha.pinda kwa mkwara anatisha..!!
   
 9. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama mgomo umeisha ni vyema,tutaokoa vifo vingi ambavyo vingetokea bila ulazima,bwana mponda na bi Nkya huenda wamekubali yaishe
   
 10. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  TBC?BBC Ningeamini. Just ni propaganda tu.madr atuwaoni ni wagonjwa na manesi na ma medical asist ndo niliowaona katika hiyo taarifa habari ya saa 2.CCM ifike time wakubali tu kuwa kama Malove yame expire yame expire upendwi upendwi so wang'atuke tu.awana hati miliki ya Tanganyika.So watambue kuwa huu si wakati wao.
   
Loading...