Kwa hili, kweli serikali imejipanga kukabiliana na mgomo wa madkt | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili, kweli serikali imejipanga kukabiliana na mgomo wa madkt

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by drgeorge, Mar 9, 2012.

 1. d

  drgeorge Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa nimeelewa kumbe kweli Serikali imejipanga sawia kukabiliana na mgomo, Hongera Pinda kwa kusema kweli. Kumbe hii serikali ina utashi mkubwa, ipo makini na inajua kupangilia sawia mambo ya propaganda kwa kutumia makada wake katika media, kushirikiana na wakurugenzi wa Hospitali za rufaa kupiga blaablaa na porojo za uongo.

  Hapo ninaipongeza, imefaulu sana na ilikwishafaulu siku nyingi, porojo, propaganda, blaablaa na uongo inauweza kikamilifu. Hayo ndiyo yameifikisha hapa tulipo ukubali ama ukatae ndivyo ilivyo. Makada wameandaliwa kwenda kwenye media, mitandao na kutia mkwara kwa baadhi ya media na kuchimba mkwara baadhi ya waandishi wa habari specific kabisa.

  Yangu macho na masikio. the end will justify the means.
   
Loading...