Viongozi na Ujira Wa Mwia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi na Ujira Wa Mwia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muke Ya Muzungu, Mar 9, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Madaktari wanapigania posho, wabunge nao hivo hivyo kutokan ana ugumu wa maisha. Raia wa kawaida, yaani mlipa kodi hana uhakika wa mlo wake kwa siku kutokana na ugumu wa maisha anaokabiliana nao. Ila nashindwa ni kitu gani kinachoendelea baada ya kituko au ajali ya Mh. Adamu Mwana wa Lima aliyefikia hoteli ya Tsh 400,000 kwa siku na kubeba Zaidi ya $4,000 zA kimarekai ndani ya nchi yake.

  Napend atu kuuliza posho za mawaziri na maofisa serikalini ni kiasi gani na kwa nini Kiongozi kama huyu abebe hela za kigeni kwenda morogoro? .Ni biashara gani anayoifanya ADamu Mwana wa Lima? Basi kama ni hivi basi maisha ni mazuri, na viongozi hawahitaji Ongezeko wa Ujira wa Mwia. Kwa maana sie walalahoi hiyo hela hata baada ya miaka miwili hatuioni. Kwa mwaka mmoja baba yangu hana kipato zaidi ya $150. Waziri safari ya morogoro anabeba $4,000
   
Loading...