AshaDii: "JF Woman Of The Year 2011"

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Mchakato wa Kumtafuta JF Woman of the Year 2011 umekamilika baada ya kupigwa kwa kura za maoni na baadaye kuwashindanisha walioteuliwa na Tume ya Uchaguzi JF.
Tafadhali Rejea katika uzi ufuatao ili kupata historia:

1. Kura Za Maoni: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/229183-jf-man-and-woman-of-the-year-2011-competition.html
2. Upigaji Kura:
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/230011-polls-jf-woman-of-the-year-2011-a-3.html

Tume ya Uchaguzi ya Jamiiforums JEC baada ya kupitia mchakato mzima wa uteuzi wa wagombea na upigaji wa kura imeridhika kwa kauli moja kuwa Uchaguzi ulikuwa
HURU NA WA HAKI na hivyo inatangaza kuwa:

AshaDii ni: JF Woman Of The Year 2011 - (WoY 2011)

Kwa kuwa mhusika ametangazwa mshindi inampasa kuwa na maadili mema kipindi chote atakachokuwa amebeba title hii. Tume haitasita kumnyang'anya ushindi atakapokwenda kinyume na maadili ya JF na Tume.

Sambamba na hilo Members wa JF wanaopenda wanaruhusiwa kumwita kwa jina lake la heshima yaani:
WoY AshaDii.

Pia sambamba na hilo zawadi ya TZS 50,000 itatolewa kwa mshindi wetu huyu.

Kwa niaba ya wana JF wote tume inapenda Kumpongeza kwa dhati kwa ushindi alioupata.

Wote Mnakaribisha Kumpongeza
WoY AshaDii kwa Ushindi alioupata.

Wasalaam

Signed & Sealed:

Superman-Logo.jpg

Superman
Chairman - JEC

images

MoY AshaDii kwa Ushindi alioupata.

Wasalaam

Signed & Sealed:

Superman-Logo.jpg

Superman
Chairman - JEC

images

HONGERA AD
Superman una haraka ya kuruka tuuuu......hebu weka hansard sawa hapokwenye blue ili tuwe na kumbukumbu mujjarab
 
Hongera WoY AshaDii, Kweli ulistahili.

Nigawie basi hata buku mbili aisee, elfu hamsini yote unakula pekee yako!?
 
HONGERA AD
Superman una haraka ya kuruka tuuuu......hebu weka hansard sawa hapokwenye blue ili tuwe na kumbukumbu mujjarab

lol . . .Tafadhali Rejea:

Tafadhali Rejea katika uzi ufuatao ili kupata historia:

Unapokuwa unapata mtu wa kukuheshimu sana hata hakufahamu,then
wewe ume barikiwa kweli kweli.

I respect AshaDii so much,simjui,Lakini trust me....kwenye key board (JF in general) ndipo panaonesha
mtu alivyo kwa uhalisia,.....why?kwa sababu UNAANDIKA KILICHO JAA NDANI YA MOYO WAKO.

You can fake it sometimes,but you'll certainly go back to the real you.
AshaDii is as real as she is,..............Much respect.
 
Congratulation AshaDii, you deserve this.
I have to say that with your new tiara you should expand your interventions in JF and participate in other active jukwaaz like Siasa, international and economics which will benefit from your posts.
Wining against FaizaFoxy ni tuzo kubwa sana because she is also a woman of caracter who stands for what she believes in, for as long as she believes it is right. Bila shaka she deserves the second title
Hongera!!!
 
Habari wana JF…

Hapa jamvini tupo watu wa kila aina na namna… Hio inafanya hili shindano zima liangaliwe kwa kila aina na namna tofauti wa msimamo. Hata hivo what matters kwangu mim ni kwamba it means a lot, yaani saana tu…. kuweza kua nominated, kushindanishwa na a fellow woman I admire and Respect na hatimae kushinda.

Nimebakisha Mwezi na week moja nifunge Mwaka mmoja hapa JF toka kujiunga, Ila I feel like it has always been a part of me hadi siamini kua a Year ago nilikua siijui wala kutokua member wa JF. Nimebahatika kuonana na member mmoja tu wa JF, Ila ni ajabu I feel like most of you are part of my life to the extent hata mtu akipotea saana jamvini baada ya mda najiuliza kama wapo salama for behind the Avatars we have private lives.

Nataoa shukrani zangu kwa woote walohusika katika michakato yooote ya upande wa akina mama na baba. Natoa shukrani zangu kwa wale woote ambao wananikubali na kunipenda. Natoa shukrani zangu kwa Familia yangu yoote ya JF ikiongozwa na Sweetie. Natoa shukrani kwa wale wanaofanya hii Forum kua hapa ilipo kiutendaji ikiongozwa na Invisible na the crew. Natoa Shukrani kwa woote walopiga Kura na kuniwezesha kufika hapa. Natoa shukrani kwa Superman na kukupongeza kwa jitihada ya kusimamia zoezi zima. Na Finally natamka kua napokea taji ka mikono Miwili toka Kwa Marehemu Regia Mtema; Bahati ilioye ali insinuate katika post moja in a thread ya Super Man kua she proudly gives AshaDii the crown for She deserve to be WoY (LINK). Daima I will be humbled for that. Narudia…. ASANTENI SAAANA.

With Love

Pamoja Saana
AshaDii.
 
Hongera sana aunt wetu mpendwa. Ngoja nimtafute mwali tupange namna ya kusheherekea ushindi.
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom