Wanaharakati wa kujitegemea waandaa maandamano kupinga mgomo wa madaktari

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
246
wadau nipo hapa hadees posta gorofani nimeweka decoder yangu kuna baadhi ya majamaa ka 6 akiwemo kada flani wa chama flani, eti wanaandaa maandamano kupinga mgomo wa madktari. But inavoenakana kuna pesa zimetembea hapa maana siwaelewi maongezi yao.
je askari watapinga maandamano haya?
narudi na updates
 
ccm na strategy ya kipumbavu,..tutashuhudia maandamano na mipasho ya aina yake pale jk atakapozungumza na wazee ovyo wa ccm wa dar...
 
Wapi hiyo nije na Bango langu linalosema.........Tumechoka kuburuzwa
 
watafanya propaganda zoote lakini bila mponda na nkya kuondoka hakitaeleweka...!
 
Ni sehemu gani?umesema kama vile wanatembeza ngawira?hebu ni pm niwahi mie,hizo dili huwa chache sana,nakushangaa unachelewa!
 
Harafu mwenzio kamshahara kangu kameshaisha.............., wanipe hizo njuruku niandae bango langu - " presidaa achia ngazi , taifa limekushinda"
 
wadau nipo hapa hadees posta gorofani nimeweka decoder yangu kuna baadhi ya majamaa ka 6 akiwemo kada flani wa chama flani, eti wanaandaa maandamano kupinga mgomo wa madktari. But inavoenakana kuna pesa zimetembea hapa maana siwaelewi maongezi yao.
je askari watapinga maandamano haya?
narudi na updates

Tunasubiri kwa hamu updates hizo
 
Pi hakikisha wanaonyesha Kibali toka Poilsi hao. Isiwe ubaguzi katika suala la kkuwa na maadamano kuomba vibali.

Hao ni vibaraka wa Serikali hivyo utakuta hawana hata kibali cha kuandamana lakini utaona Jeshi la polisi wanawapa Ulinzi.

WANANIBOA POLISI HAWA!!!!!!!!!!!!!!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
updates, hawa jamaa wapo na waandishi wa habari na wameita presss ngoja tuone
 
LAKINI IPO SIKU TU WATANZANIA TUTAGUNDUA KIINI CHA HAYA YOTE! Ushauri wangu ni kwamba mara tutakapogundua, IWE NI MUNGU, au MTU tuliyemkosea, basi tusiogope KUREKEBISHA naye!!! Hivi ninyi hamwoni????!! Ingekuwa hili ni gari nadhani tungelikataa kulipanda, zaidi sana pale ambapo tunajua wazi SOLUTION ya mikasa ya gari letu!
 
Hawa si wanaharakati mi nawaita wasaliti... Njaa zao ndo znazowapelekea kusaliti uma wa watanzania... Eti wanaharakati wazalendo! Uzalendo wameujua leo? Vibaraka wakubwa hawa...
 
...Hawa jamaa ni wana-CCM na nimewaona wiki hii wakiojiwa na makwaiya wa kuyenga kwenye kipindi cha je tutafika na walikuwa wanajitambulisha kama makada wa CCM waliojiunga mwaka 2005 mmoja anaitwa Assenga Abubakari na wenzake wawili,walichokifanya wamemtafuta mzee mmoja na kumuita ni dokta mstaafu na yeye kawalaumu madaktari....wameseama kuwa watashirikisha wananchi na wagonjwa.Wao wana jihita wana harakati wazalendo.

source:Channel ten
 
Assenga,salum,mateu(mpemba feki) na risasi mwaulanga wanatumika vibaya sana hawa watu!!
 
Labda wawahonge wa2 ili wabebe mabango la sivyo watabaki wenyewe na milozi ya magamba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom