Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

leo katika uzinduzi wa kampeni za mgombea wa CHADEMA kata ya Kirumba katika viwanja vya magomeni, aliyekuwa mgombea wa udiwani Kata ya Sangabuye kupitia CUF amerudi CDM kwa madai kuwa chama cha...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Unani-let down usemapo 'CDM OYEEEEE' unanirudisha nyuma nusu atua kiakili. Sasa cjui ni mimi mwenyewe?! Sema ppoooooz! Then u swallow your saliva. Twende kasi. Then jana nlipenda saaana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ardhi, Maji na Ajira kuamua Ubunge Arumeru Mashariki Uchaguzi wa Ubunge Arumeru Mashariki ni kipimo cha namna wananchi mnavyoridhika na watawala, namna mnavyoridhika na mgawo wa Ardhi na namna...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mr Prime Minister actions speak louder than words BY GUARDIAN ON SUNDAY CORRESPONDENT 11th March 2012 Email Print Comments Our Prime Minister, Honourable Mizengo Kayanza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sunday, 15 May 2011 Gazeti la Mwananchi Boniface Maana, Tunduru na Felix Mwagara UFISADI unaoonyesha kuwa zaidi ya Sh48 bilioni zimetafunwa na wajanja umeendelea kulitikisa taifa baada ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mgomo wa pili wa madaktari uliotangazwa na kutekelezwa Jumatano wiki hii, na kuwasababishia usumbufu mkubwa wagonjwa hospitalini, sasa umesitishwa rasmi na madaktari hao kwa kile walichoeleza ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad Tanzania ipo katika hatari ya kuwa na kundi la wataalam wasiokuwa na sifa iwapo tatizo la udanganyifu wa mitihani kwa wanafunzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mh. Lowasa mbunge wa Munduli atajaribisha nguvu ya kundi lake katika uchaguzi wa Arumeru unaotarajiwa kufanyika 01.04.2011. Katika siku za hivi karibuni ndani ya chama tawala CCM kumeibuka makundi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tumeichoka ccm na kama vijana tukiweza tunaweza.
0 Reactions
1 Replies
947 Views
Kwenye hii link kuna matajiri wakubwa wa Africa 2012 Nimetafuta jina la E. Lowasa sijaliona, wala hakuna Mtanzania yeyote katika hii orodha, si Rostam wala Mkono sasa najiuliza utajiri wao uko...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Taarifa nilizo zipata muda huu zinasema katika mkakati wa kuhakikisha ccm inashinda arumeru kwa gharama yoyote polisi wa jijini hàpa wamepigwa marufuku kufika arumeru kwa tuhuma kwamba polisi wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Vile viwanja kule burka vilivyoleta Mushkeri, maeneo hayo hayo Makaburu wameanzisha kijiji chao. Kuna eneo kubwa sana kama vijiji viwili hivi, makaburu wamepewa viwanja na wamejenga. Hebu...
5 Reactions
29 Replies
4K Views
Short Course Announcement on “DATA PROCESSING AND ANALYSIS” Introduction The process of organizing and thinking about data is key to understanding what the data does and does not contain...
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Wananchi wanateseka kwa umasikini, uchumi umekufa na kuna mfumuko mkubwa wa bei. Shangaa kipato cha wananchi wengi kimeshuka na bidhaa muhimu zimepanda bei Uzalishaji umeshuka kwa sababu mafuta...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mchakato wa Kumtafuta JF Politician Of The Year 2011 umekamilika baada ya kupigwa kwa kura za maoni na baadaye kuwashindanisha walioteuliwa na Tume ya Uchaguzi JF. Tafadhali Rejea katika uzi...
3 Reactions
83 Replies
5K Views
Mkombozi pekee wa wanawake duniani ni kujiamini tu, achanani na kusaka nafasi za kupendelewe na kujifariji kwa misemo inayowadunisha,eti mwanamke akiwezeshwa ataweza! kwani? asiweze mwenyewe mpaka...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanabodi, JK ilikuwa akutane na Wazee wa Darisalama siku ya Ijumaa ili kutoa msimamo wake juu ya mgomo wa Madaktari!. Ijumaa hiyo akaamua kabla hajatoa msimamo, akatumia busara kuwasikiliza hao...
7 Reactions
119 Replies
8K Views
Kwa bahati namsikiliza sana bi halima mdee. anapokuwa Mjengoni huongea na kupiga meza anavyotaka huku akiamini hakuna sheria inayoweza kumpeleka Mahakamani. Ndani ya bunge, wabunge wote wanakinga...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Baada ya kushuhudia uzinduzi wa kufana na kutisha wa kampeni za CHADEMA katika uchaguzi wa ubunge wa Arumeru Mashariki, CCM wameazimia kufanya kufuru katika uzinduzi wao wa kampeni jumatatu tarehe...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mkuu Nnape, Pole na majukum ya kazi ya Chama chetuu cha CCM. Mimi niko huku nyumbani Mtwara. Nimefanya uchunguzi nikagundua kuwa ww ni mwana we kwetu, ikaniuma sana kuona ukipata tabu pale Ubungo...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…