Mh Halima Mdee ni mwanasiasa kijana Moga ?au msomi mwenye fikra pevu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh Halima Mdee ni mwanasiasa kijana Moga ?au msomi mwenye fikra pevu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by thatha, Mar 10, 2012.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Kwa bahati namsikiliza sana bi halima mdee. anapokuwa Mjengoni huongea na kupiga meza anavyotaka huku akiamini hakuna sheria inayoweza kumpeleka Mahakamani.
  Ndani ya bunge, wabunge wote wanakinga ya kutosha.
  Lakini nje ya bunge Bi halima huwa kama Paka alieroa. Hata jimboni kwake licha ya kero nyingi wakazi wake wanavyofanyiwa. lkn sikuwahi kumsikia akipiga kelele na kuilaumu CCM kama anavyofanya Lissu na Mnyika au hata Mama slaa.
  Licha ya Chadema kuonekana ni Chama FUJO kwa viongozi wake, lakini mama huyu akiwa nje ya Bunge anajificha kabisa. na humalizia hasira zake bungeni sehemu ambayo ni salama kwake

  lakini hata JF tuliambiwa atakuja na tukahidiwa na marketer. lkn pia ameingia mitini

  JEE HUU NI WOGA WA KISIASA.
   
 2. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,811
  Likes Received: 36,892
  Trophy Points: 280
  Unapenda vyeo??
   
 3. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Is she single?
   
 4. d

  dada jane JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Una lako jambo si bure.
   
 5. Josephine

  Josephine Verified User

  #5
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kunguru Mweusi,
  Hapana Mhe Halima si muoga,wanasiasa wote uliowataja wana characters tofauti na approach tofauti,Mhe Halima anajiamini kupita Kiasi na kwa tabia hiyo nilazima unapokuwa mbele ya wale waliokupa mamlaka ni lazima utahesabu maneno na kupangilia cha kuongea.
   
 6. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,530
  Likes Received: 5,679
  Trophy Points: 280
  To be honest,Mdee is too cold now days!! Inawezekana anapiga kazi kama kawa lakini haonekani kabisa kama zamani wala kusikika! Watu walipenda Swaga zake za ukali na kuhenyesha watendaji! Sijui kulikoni!
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Haina kitu chochote hii!
   
 8. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,530
  Likes Received: 5,679
  Trophy Points: 280
  Halima Mdee kama mwanasiasa kijana na tena mwanamke tunayeamini ni moja ya bora zama hizi tulipaswa kusoma na kusikia mipango yake,akishiriki ktk mijadala mbalimbali hata humu JF ili tuone mawazo yake kama kiongozi kama akina wewe,
  Zitto,Mnyika,Dr Slaa n.k ktk matukio mengi utajua msimamo na mawazo ya hao niliowataja lakini mwanamama tunayemtegemea Halima Mdee kimya kabisaaa! Nafikiri Halima abadilike kidogo afanye siasa kweli kweli! Tunataka tuone maono yake kwa njia mbalimbali yanayohusu muelekeo wa Taifa letu! Halima Mdee yuko vizuri lakini asipobadilika na kuamua kufanya siasa kwelikweli jimbo la Kawe 2015 linarudi CCM!! Watanzania wanataka wakusikie kama Zitto,Magufuli,Dr Slaa,Mbowe n.k na Halima ndivyo alivyo lakini amebadilika sana!
   
 9. Mukhabarat

  Mukhabarat Member

  #9
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  umekula utumbo wa shilingi ngapi? na utumbo wenyewe ulikuwa wa leo leo au ndaza?
   
 10. J

  Juma Bundala Member

  #10
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Bungeni ndio mahara pake Mh Mdee yupo sawa,make mjengoni ni mahali pa kupaza sauti kutetea wanyonge.Sasa anafanya kazi ya kukusanya maoni + kero za wananchi akazikemee BUNGENI.
   
 11. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Stop achana na Mbunge wetu. Huyu binti si mwoga kama unavyodhania bali ni mtu aliyeleleka malezi mazuri sio wa kupwayuka ovyo.
   
 12. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #12
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Wabunge wa CDM ni malaika huwa hawakosolewi hapa jamvini,na ukitaka watu wakutolee povu jaribu kutoa mawazo yako hata ya kujenga au kurekebisha lakini gusa CDM uone hapa,huu unaitwa unafiki wawazi kabisa,Mimi bado naamini nchi hii haitabadilishwa na wana siasa kutuletea maisha tunayoyatarajii wAtz lazima sisi wenyewe tuanze kufanya kazi kwa bidii kuacha kutumiwa na wanasiasa kwa maslahi yao,na kuchagua viongozi wenye muelekeo na sera nzuri,ukitaka kujua CDM na CCM ni ndugu moja tazama Wabunge wa viti maalum Chadema ndio utajua mchezo wa siasa ulivyo,ni wenyewe kwa wenyewe wanapeana,haya nishambulieni wafuasi nliowagusa,
   
 13. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #13
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Kuipigia kelele CCM?

  Is this the best an opposition MP is required to do?
   
 14. m

  moma2k JF-Expert Member

  #14
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 953
  Likes Received: 984
  Trophy Points: 180
  Je ameolewa?
   
 15. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #15
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Ugomvi wako na DR.Ndalichako imeishia wapi?
   
 16. Josephine

  Josephine Verified User

  #16
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Noted,anapitia nyanja hizi,atakusoma.
   
Loading...