CCM wapania kufuata nyayo

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,785
12,227
Baada ya kushuhudia uzinduzi wa kufana na kutisha wa kampeni za CHADEMA katika uchaguzi wa ubunge wa Arumeru Mashariki, CCM wameazimia kufanya kufuru katika uzinduzi wao wa kampeni jumatatu tarehe 12/03/2012 kwa kuigayote yaliyofanywa na CHADEMA leo kwa kufanya yafuatayo:

  1. Kufanya live uzinduzi wao katika TV mbalimbali;
  2. Kusomba watu wengi kutoka katika wilaya zote za Arusha;
  3. Kuchangisha fedha nyingi kwa ajili ya kampeni kutoka kwa mafisadi;
  4. Kuwatumia viongozi wastaafu na maarufu katika kampeni zao; na
  5. Kufanya maonyesho ya helikopta katika maeneo yote watakayofanya kampeni;

Hivyo CHADEMA wanatakiwa kukaza buti kwa kuwa wakipata fedha za mafisadi na ruzuku ya serikali watafunika Arumeru Mashariki.
 
Watu hawataenda kuwasikiliza, hakuna cha kufunika hapo!
Kuhusu kukaza buti nakuunga mkono kwani usimuamini nyati eti amelala chini yakuwa amekubali kuchinjwa, chapa risasi ya kichwa kwanza ndio ukamalizie. Hata kama adui yako ni dhaifu kama mjusi, mpige gobole huyo mjusi ili uonyeshe ulimaanisha vita kikweli kweli.
 
kazi hiyo kesho ya kufungua kampeni itafanywa na mzee wetu MKAPA,na atakuwepo leo huko,cdm kaz kwenu,kumsikia mkapa tu tayari hofu imetanda kwnye vyama vya upinzani hususan cdm,wanafahamu uwezo wa mzee wa kuchambua mambo
 
Kwa Chadema kujaza watu ni kawaida yenu hatushangai kamwe subiridi kichapo siku ikifika. Kwani. Huko arumeru mna uhakika gani kuwa kila aliyekuja hapo kwenye uzinduzi atakupeni kura? Jengeni chama kwanza mmeoza ndani mwenuuu.
 
daudi mchambuz kifo cha cdm ni 2015,wenzenu cuf tayari,subirhn mtanambia,upinzan hapa bongo bado,cku upinzan ukifka vijijini basi tutaanza kuzungumza,wapga kura weng wako huko,hata we mwenyewe n kpga mdomo tu hata kadi ya kupgia kura huna,mtatokaje?
 
Watu hawataenda kuwasikiliza, hakuna cha kufunika hapo!
Kuhusu kukaza buti nakuunga mkono kwani usimuamini nyati eti amelala chini yakuwa amekubali kuchinjwa, chapa risasi ya kichwa kwanza ndio ukamalizie. Hata kama adui yako ni dhaifu kama mjusi, mpige gobole huyo mjusi ili uonyeshe ulimaanisha vita kikweli kweli.
Uko sahihi kabisa, maana ieleweke hata Magamba wana itikadi ya Kuua inzi kwa Bomu!
 
daudi mchambuz kifo cha cdm ni 2015,wenzenu cuf tayari,subirhn mtanambia,upinzan hapa bongo bado,cku upinzan ukifka vijijini basi tutaanza kuzungumza,wapga kura weng wako huko,hata we mwenyewe n kpga mdomo tu hata kadi ya kupgia kura huna,mtatokaje?

This is Utopian thinking.
Kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti.
 
daudi mchambuz kifo cha cdm ni 2015,wenzenu cuf tayari,subirhn mtanambia,upinzan hapa bongo bado,cku upinzan ukifka vijijini basi tutaanza kuzungumza,wapga kura weng wako huko,hata we mwenyewe n kpga mdomo tu hata kadi ya kupgia kura huna,mtatokaje?

we endelea kutoa mapovu kama umelamb sumu ya cdm kwenye keyboard wenzako tupo tunakula loshoro uku.
 
daudi mchambuz kifo cha cdm ni 2015,wenzenu cuf tayari,subirhn mtanambia,upinzan hapa bongo bado,cku upinzan ukifka vijijini basi tutaanza kuzungumza,wapga kura weng wako huko,hata we mwenyewe n kpga mdomo tu hata kadi ya kupgia kura huna,mtatokaje?

ulivyomaliza kuandika hukurudia kusoma!!! ona sasa ulivyojivua nguo. Akili yako imebaki uchi wa mnyama. wajameni msitirini nguo apsteazi!!!!!
 
daudi mchambuz kifo cha cdm ni 2015,wenzenu cuf tayari,subirhn mtanambia,upinzan hapa bongo bado,cku upinzan ukifka vijijini basi tutaanza kuzungumza,wapga kura weng wako huko,hata we mwenyewe n kpga mdomo tu hata kadi ya kupgia kura huna,mtatokaje?

Aiseee! BMT kumbe na wewe umeoza akili! Sikujua kabisa kama na wewe una mawazo yanayopitia matakoni!
 
Watu hawataenda kuwasikiliza, hakuna cha kufunika hapo!
Kuhusu kukaza buti nakuunga mkono kwani usimuamini nyati eti amelala chini yakuwa amekubali kuchinjwa, chapa risasi ya kichwa kwanza ndio ukamalizie. Hata kama adui yako ni dhaifu kama mjusi, mpige gobole huyo mjusi ili uonyeshe ulimaanisha vita kikweli kweli.

Kwa madaktari kusitisha mgomo wao kidooogo kumewarejeshea imani CCM na wale wote wenye akili za panzi kuwaonea huruma na kuwapa kura.
 
daudi naona imekuuma sana,na ukwl unauma,weka point na jenga hoja si muda wa kubwabwaja hapa,we are great thinker,let us think
 
Back
Top Bottom