Josephine:"JF Female Politician Of The Year 2011" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Josephine:"JF Female Politician Of The Year 2011"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Superman, Mar 9, 2012.

 1. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145

  Mchakato wa Kumtafuta
  JF Politician Of The Year 2011 umekamilika baada ya kupigwa kwa kura za maoni na baadaye kuwashindanisha walioteuliwa na Tume ya Uchaguzi JF.
  Tafadhali Rejea katika uzi ufuatao ili kupata historia:

  1. Kura Za Maoni: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/230046-jf-m-and-f-politician-of-the-year-2011-competition.html
  2. Upigaji Kura:
  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/231099-jf-female-politician-of-the-year-2011-a-2.html

  Tume ya Uchaguzi ya Jamiiforums JEC baada ya kupitia mchakato mzima wa uteuzi wa wagombea na upigaji wa kura imeridhika kwa kauli moja kuwa Uchaguzi ulikuwa
  HURU NA WA HAKI na hivyo inatangaza kuwa:

  Josephine ni: JF Female Politician Of The Year - 2011 - (FP)

  Kwa kuwa mhusika ametangazwa mshindi inampasa kuwa na maadili mema kipindi chote atakachokuwa amebeba title hii. Tume haitasita kumnyang'anya ushindi atakapokwenda kinyume na maadili ya JF na Tume.

  Sambamba na hilo Members wa JF wanaopenda wanaruhusiwa kumwita kwa jina lake la heshima yaani:
  FP-Josephine.

  Pia sambamba na hilo zawadi ya TZS 50,000 itatolewa kwa mshindi wetu huyu.

  Kwa niaba ya wana JF wote tume inapenda Kumpongeza kwa dhati kwa ushindi alioupata.

  Wote Mnakaribisha Kumpongeza
  FP Josephine kwa Ushindi alioupata.

  Wasalaam

  Signed & Sealed:

  [​IMG]
  Superman
  Chairman - JEC

  [​IMG]
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Pongezi nyingi FP Josephine. Tunathamini sana michango yako hapa JF.
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwi kwi kwi teh teh teh.

  Mwanasiasa asiyejulikana kwenye siasa nje ya JF. Hongera sana.
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  JF inageuka kuwa kijiwe cha ndio mzee na kizazi hiki ndicho tunacho kikataa.
  Hao wote walio shindanishwa hakuna hata mmoja amewahi kujenga hoja humu jukwaani,ni
  kutukana kwa upande mmoja,na kutetea chama kwa sentensi fupi fupi tu "ndio","hapana" kwa upande mwingine.

  They are poor execuse of JF Female politician,kuna watu wanajenga hoja,Kwa mfano Afrodenzi alivo simamia
  zoezi la kijana aliye kuwa anaumwa na michango ikapatikana,etc.

  FF na Josephine wamefanya nini?
  Kutukana watu JF au kutetea maandamano ndo mwanasiasa bora?
  Au mawazo ya Superman ndio super?
  To hell.
   
 5. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Ndio maana akaitwa wa JF....
  Washindani wake wanajulikana wapi huko nje ya JF??

  Hongera zako Josephine kwa mchango wako hapa JF, hakika unastahili.
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  wewe umefanya nini hapa JF? mbona hata mkuu wa nchi alishawahi kuita watu mbayuwayu? mboan ulimpa kura yako na sasa hivi anakuongoza?
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Mkuu JouneGwalu.
  Heshima kwako,long time sana.
  Please,unaweza nambia Josephine amewahi kuchangia hoja yenye mashiko hapa JF?
  Au amewahi kuanzisha topic ipi inayo onesha kweli ni mwanasiasa?

  Me naona kashinda kishabiki tu kwa jina la Dr.Slaa,hajafanya lolote humu zaidi ya ushabiki
  na wana JF walivo vipofu pale inapo tajwa chadema basi hawa reason hata kidogo.

  Hilo title halikupaswa kuwepo maana hakuna anae deserve kati ya walo tajwa.
  Mmoja ni mdini sana,mwingine ni shabiki shabiki tu.siasa iko wapi hapo?
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Waonyeshe na nyuzi alizotoa humu zilizompatia hiyo tuzo. Au huyu ndio may gali frendi wake Slaa? maana na yeye si anaitwa Josephine?
   
 9. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145

  Kabla hujalaumu na kuanza kutoa lugha ya kashfa pitia:

  1. Kura Za Maoni: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/230046-jf-m-and-f-politician-of-the-year-2011-competition.html
  2. Upigaji Kura:
  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/231099-jf-female-politician-of-the-year-2011-a-2.html

  Halsfi jiulize wewe ulishiriki vipi?

  Tu wepesi sana wa kulaumu lakini ushiriki wetu ni kidogo au hakuna. Na kama wengine walimpendekeza, ulitaka Mwenyekiti JEC alete wake wa kuchongwa?

  Hebu tuheshimu maoni ya wengi afterall hii ni thread kama thread nyingine na SM hana copy rights.

  Kama hujaridhika unaweza kuanzisha shindano lako uone jinsi ilivyo rahisi.

  Hata hivyo kama una hoja nzito unakaribishwa ili wadau waijadili.
   
 10. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hongera JP - J
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  Mnatokwa na mimate ya nini? Supermen hajachagua yeye ..kura zilipigwa na nyinyi hapo..mnakuwa kama watoto wadogo kulaumu laumu bana..kwenye kura hamuendi kupiga halafu matokeo yakitoka mnaanza kulalama.sio haki hata kidogo.watu walipendekezwa na nyinyi na kama mlikuwa mnajua hawafai kwa nini msingepinga?? watz bana.
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  HONGERA Josephine.... Hongera Faiza pia kua among 2 of the considered BEST.
   
 13. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mkuu, that is what we call "Name Calling" na msumeno wake uko wazi.

  Hivi unajua Superman ni nani? JK? Waziri? Mbunge?
  Speaker je? Ni Kiongozi? balozi?
  Fox Faiza je?

  Panapofanyika maamuzi it is too late to complain. Ungeanzia kwenye Mchakato Mkuu.

  Subiri next Competition.
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  FF na utata wake wote na kulambwa ban ya chuki tu, lakini kachukuwa namba mbili nyuma ya AshaDii. Ile kitu ingine kabisa, achana nayo.
   
 15. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Hivi jamani why Name Calling? Unajua hili ni kosa kubwa sana hapa JF. Hivi wangapi wana majina hayo?
   
 16. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Huyu yuko wapi?
   
 17. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mimi kutofanya kitu haimaanishi nikichaguliwa kuwa JF man of the year nikubali.
  I have done nothing,so do they.
  Two wrongs don't make one right.

  Sasa kama sijafanya kitu ndo wapewe pewe tu?
  what an execuse,think Ivuga.
   
 18. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #18
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  @Ribosome @Speaker @Superman @Saint Ivuga.... Kama hamtojali.... Nashauri Kabla ya kurushiana Maneno na kupoteza Energy Mkumbuke na kukubali kua Upande wa washindani wa Siasa hasa waliowakilisha Wanawake, ilikua sio mashindano dhidi ya Faiza na Josephine.... Ilikua Mashindano Dhidi ya vyama vya CCM Vs CDM na wepi ambao wafuasi wao walikua wengi wa kutosha kuhakikisha mtu wao Kashinda. Hata hivo hayo ndio matokeo ya Wana JF wenyewe... Hivo inabidi kwa kweli yaheshimiwe... thou yanatoa taswira ya hasa the way Wana nchi hasa wanachama tuhavo unga hoja siio kwa kuzingatia kipi bora... Lah! bali kwa kuzingatia alosema katoka kundi gani.... Mfano Mzuri mgomo wa Madaktari....
   
 19. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #19
  Mar 9, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  Hongeren woteeeeee mliojumuika humu kutoa hongera zenu
   
 20. l

  lasix JF-Expert Member

  #20
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  hongera josephine
   
Loading...