Tanzania yabaki mifupa mitupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania yabaki mifupa mitupu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPadmire, Aug 29, 2011.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,631
  Likes Received: 904
  Trophy Points: 280
  Wananchi wanateseka kwa umasikini, uchumi umekufa na kuna mfumuko mkubwa wa bei.

  Shangaa kipato cha wananchi wengi kimeshuka na bidhaa muhimu zimepanda bei

  Uzalishaji umeshuka kwa sababu mafuta yamepanda bei na umeme ni mgao, ni kama hakuna.

  Hakuna umeme mbadala kama solar power au gas

  Viongozi wanafanya ufisadi mchana kweupe, hawaogopi tena

  Viongozi wanaiba na kulindana, ina maana wanatimiza ile dhana chukua chako mapema

  Mashirika na viwanda vimekufa, ajira hakuna.

  Vijana wanahangaika, nguvu kazi inapotea

  Wazee ndo hao wanaingia mikataba mibovu kwa sababu ni wavivu kusoma na wanatumia masaburi kufikiri

  Wazee wanang'ang'ania madaraka hawataki kupumzika wakalee wajukuu

  Wazee wamekula mpaka wamevimbiwa, wanakufuru mpaka wanalea vimada, tena wanaharibu wasichana wadogo wenye umri wa binti zao

  Mabinti hawana jinsi, wanakubali kutumika kwa sababu wana njaa, umasikini umewakabili.

  Nikiendelea kusema nitalia, wacha niachie hapa.

  Labda wasomaji na wachangiaji wengine wanaweza kuongezea.

  Source: Tanzania daima na Mwananchi Paper leo
   
 2. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,631
  Likes Received: 904
  Trophy Points: 280
  Sukari ni bidhaa muhimu sana kwa watu wa aina zote, iwe waislam,wakristo,watoto,wagonjwa n.k

  Wiki hii sukari imepanda bei ghafla hadi kufikia 3000 kwa kilo

  Serikali isiyojali wananchi wake iko kimyaaa
   
 3. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  umesahau kutaja adha ya maji mkuu
  usafiri wenye uhakika balaa zaidi
  elimu ndo imebinafisishwa kabisa
  afya za watanzania si tija tena kwa serikali
   
 4. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Kichwa kinaniuma.
   
 5. HT

  HT JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  tatizo hatuna serikali...nani tasimamia haya yote?
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  lazma wananchi tuamue hatima ya maisha yetu.
   
 7. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umesahau kusema ardhi za wanyonge zinavyoporwa.
   
 8. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 5,658
  Likes Received: 5,249
  Trophy Points: 280
  Mahospitalini zinapotea roho zisizo na hatia kwa kukosa huduma bora, na uzembe wa nesi aliyetoka nyumbani kwake akiwa na stress ya maisha ya nyumbani kwake jinsi yalivyo ya hali duni. Wao mpaka matibabu ya mafua wana fanyia ughaibuni. Eee mungu tuokoe waja wako 2nao teseka wa madhambi ya wachache! Amina!
   
 9. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,631
  Likes Received: 904
  Trophy Points: 280
  ardhi ni kwa ajili ya maendeleo ya wananchi au vigogo wachache na wawekezaji???
   
Loading...