Kitakacho mkomboa mwanamke hiki hapa, si sikuu ya wakina mama

Jan 1, 2012
21
3
Mkombozi pekee wa wanawake duniani ni kujiamini tu, achanani na kusaka nafasi za kupendelewe na kujifariji kwa misemo inayowadunisha,eti mwanamke akiwezeshwa ataweza! kwani? asiweze mwenyewe mpaka awezeshwa? hapo ndipo mnapokosea na kuiaminisha jamii kuwa hamna uwezo mpaka muwezeshwe na wanaume.

ifike mahali mtumie akili na nguvu zenu ipasavyo na kuacha kujidanganya kwa uanaharakati dhaifu na kudai kupendelewa kama viumbe duni.fanyeni kazi bila kujali dhana ya mfumu dume.

ki msingi mimi siku ya wanawake naipinga sana kwani inaendeleza na kudumaza wakina mama kuwa wao ni watu duni hivyo watumie siku hiyo kudai upendeleo.

fanyeni yale ambayo jamii haijazoea kuwaona mkifanya mwishowe wataona uwezo wenu si kulalamika tu.
 
Saashisha,
Semezana nasi kwa upole na maarifa,maneno makali yamewafanya wengi kupoteza confidence.
Tumeshajitambua na sasa tunachukua hatua.

No more cry .
 
Back
Top Bottom