Kigogo na kada wa chama cha wananchi (CUF) Wilaya ya Ilemela ahamia Chadema leo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kigogo na kada wa chama cha wananchi (CUF) Wilaya ya Ilemela ahamia Chadema leo.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kaseko, Mar 11, 2012.

 1. K

  Kaseko Senior Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  leo katika uzinduzi wa kampeni za mgombea wa CHADEMA kata ya Kirumba katika viwanja vya magomeni, aliyekuwa mgombea wa udiwani Kata ya Sangabuye kupitia CUF amerudi CDM kwa madai kuwa chama cha wananchi CUF kimesambaratika na hakina nguvu ya upinzani na kusimama kama chama cha upinzani na nguvu kama iliyonayo CDM. Amesema mabadiliko yanawekana endapo watanzania tutaunganisha nguvu ya pamoja kuing'oa CCM mwaka 2015 sasa ana imani kubwa na CHADEMA.
  Katika hali ilisiyokuwa ya kawaida katibu wa CUF wilaya ya Ilemela alipanda jukwaani na kumuombea kura za ndio na kusema wagombea wengine ni wasindikizaji tu akiwemo mgombea wa CUF.
  Alisisitiza na kusema mgombea wa chadema alikuwa CUF na mwana mageuzi wa kweli mtu anayejituma na kusikiliza wanyonge wenzake hivyo basi haini tena mgombea mwingine zaidi ya bwana Kahungu ambaye ni mgombea udiwani Kata ya Kirumba.
  Uzinduzi umefana sana na wananchi wajitokeza kwa wingi.
   
 2. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu ongea binafsi nimejitoa ili nisionekane tu ni Pro CDM....Mkutano wa Kirumba leo ni zaidi ya Arumeru...Jiji la Mwanza linatikisika mpaka dakika hii...umeme ndo unazingua.
   
 3. K

  KERENG'ENDE JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  CDM nichaguo la wanyonge ....Kosa letu kubwa hatulindi kura zetu
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Chadema ni chaguo la wazalendo wa nchi hii. Mungu ibariki CDM
   
 5. K

  Kaseko Senior Member

  #5
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  sikutegemea mtu kama Zitto katika uzinduzi wa leo awaulize wananchi wa kata ya Kirumba ni uchaguzi wa rais au diwani na wananchi wamesobwa na magari.
   
 6. kwelwa

  kwelwa Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  many wanachama from cuf will soon join cdm
   
 7. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Karibu kwenye mwanga lio bora zaidi,na hongera kwa kuutua mzigo mzito
   
 8. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Supu huliwa ingali ya moto,CHADEMA tumieni hili jote vizuri,iliwakati wa kupoa muwe mmeshiba,yasije yaktokea ya CUF,sometimes nao walikuwa hot
   
 9. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Neno vigogo limeanza kutumika vibaya
   
 10. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Neno vigogo limeanza kutumika vibaya

  bora tuwe na kagogo, kigogo, ligogo
   
 11. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,811
  Likes Received: 36,886
  Trophy Points: 280
  CUF iliona umauti baada ya kuolewa na CCM.
   
Loading...