Polisi wa arusha wapigwa marufuku kwenda arumeru

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Taarifa nilizo zipata muda huu zinasema katika mkakati wa kuhakikisha ccm inashinda arumeru kwa gharama yoyote polisi wa jijini hàpa wamepigwa marufuku kufika arumeru kwa tuhuma kwamba polisi wa arusha karibu wote ni wafuasi wa chadema.

Agizo hilo lilifikiwa katika kikao cha kamati kuu ya ccm kilicha fanyika jijini hapa kwaajili ya kumpitisha mgombea wa chama hicho,ndipo lilipo tolewa agizo la kuagiza kikosi maalum ambacho kitakuwa na mchanganyiko wa kikosi cha JKT na FFU watakao valia sare za FFU kutoka mikoa mingine kwa maelekezo maalum kwaajili ya tutekeleza agizo hilo kikamilifu.

CHANZO: POLISI RAFIKI YANGU ALIYETOLEWA MWANZA KWAAJILI YA MPANGO HUO.
 
Hata hao Polisi wameshachoka na maisha haya! Wao wanafikiri Polisi sio binadamu. Yaani ni ile amri kwanza malalmiko baadae. Siku si nyingi hawatakubali amri mpaka wapate maelezo!
 
The Journey is not Long when the Freedom is the Destination" wataelewa tu hao polisi kwamba CDM wanapigania haki yao pia
 
Taarifa nilizo zipata muda huu zinasema katika mkakati wa kuhakikisha ccm inashinda arumeru kwa gharama yoyote polisi wa jijini hàpa wamepigwa marufuku kufika arumeru kwa tuhuma kwamba polisi wa arusha karibu wote ni wafuasi wa chadema.agizo hilo lilifikiwa katika kikao cha kamati kuu ya ccm kilicha fanyika jijini hapa kwaajili ya kumpitisha mgombea wa chama hicho,ndipo lilipo tolewa agizo la kuagiza kikosi maalum ambacho kitakuwa na mchanganyiko wa kikosi cha JKT na FFU watakao valia sare za FFU kutoka mikoa mingine kwa maelekezo maalum kwaajili ya tutekeleza agizo hilo kikamilifu.

CHANZO: POLISI RAFIKI YANGU ALIYETOLEWA MWANZA KWAAJILI YA MPANGO HUO.
mbona hao polisi kutoka mwanza ndio chadema damdam.huoni ameshaanza kazi ya kuvujisha siri
 
Sio polisi wala majeshi yaliyowahi kushinda utashi na mioyo ya watu. Sijajua wamekatazwa wakiwa kazini au hata wakiwa off-duty (uraiani)?
 
Taarifa nilizo zipata muda huu zinasema katika mkakati wa kuhakikisha ccm inashinda arumeru kwa gharama yoyote polisi wa jijini hàpa wamepigwa marufuku kufika arumeru kwa tuhuma kwamba polisi wa arusha karibu wote ni wafuasi wa chadema.agizo hilo lilifikiwa katika kikao cha kamati kuu ya ccm kilicha fanyika jijini hapa kwaajili ya kumpitisha mgombea wa chama hicho,ndipo lilipo tolewa agizo la kuagiza kikosi maalum ambacho kitakuwa na mchanganyiko wa kikosi cha JKT na FFU watakao valia sare za FFU kutoka mikoa mingine kwa maelekezo maalum kwaajili ya tutekeleza agizo hilo kikamilifu.

CHANZO: POLISI RAFIKI YANGU ALIYETOLEWA MWANZA KWAAJILI YA MPANGO HUO.
Mkuu edit hii thread haraka kabla wanusaji hawajaisoma utamuharibia kazi huyo askari mkuu wangu.Tuwe makini kulinda ma informer wetu jamani.edit mkuu najua ninachokisema.
 
Hivi karibuni nilikuwa kwenye tukio moja hivi amabao nilipata muda wa kubadilishana na mawazo na FFU wawili wakiwa kazini... amini usiami jamaa wanaongea kwa uchungu mno kuhusu serikali yao kuwa ni mbovu kabisa na mbeleni huenda wakagoma...!
 
Nukuu ya Nelson Mandela iliyofanywa na kamanda Mbowe kwenye uzinduzi wa kampeni saturday alasiri inaprove right!!!!!! tutapambana na utawala huu na ourstoria inatufeva.
 
Sio polisi wala majeshi yaliyowahi kushinda utashi na mioyo ya watu. Sijajua wamekatazwa wakiwa kazini au hata wakiwa off-duty (uraiani)?

mkuu watakuwa kwenye vituo vyao vya kazi kama kawaida likini hawatajishuhulisha na kampeni labda kama itahitajika nguvu ya ziada na hawata chukuliwa wa maeneo husika
 
Hii ni Tz ya 2012 wala sina wasiwasi wowote hata kama FFU kutoka Arusha watazuiliwa kwani watakaokuja wakisimamia haki, wananchi wataiadhibu vizuri tu CCM. Police ni walewale hata wakitoka Moshi, Mara, Shy, Mtwara hawana tofauti. Mbinu hii haisaidii chochote kama wananchi wameamua kubadili kiongozi. Tusubiri tuone.
 
Back
Top Bottom