Utajiri wa Lowasa uko wapi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utajiri wa Lowasa uko wapi??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Hassan J. Mosoka, Mar 11, 2012.

 1. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,792
  Trophy Points: 280
  wanaoingizwa huko ni wale ambao vyanzo vyao vya pesa vinajulikana..sasa hao kina Lowasa wanavyanzo vinavyoeleweka?..unafikiri Chenge anaweza kukupa chanzo au alikovipaata vijisenti vyake?
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Hiyo list ni fake,hata mi sikuona jina langu
   
 4. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hizo fedha wanatunzia katika mabenk yapi wakuu wangu manake sielewi, mmm ina maana kumbe Tz nzima hatuna matajiri wakubwa??
   
 5. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ukiona Jina lako halipo basi huna fedha una vijisenti mkuu
   
 6. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Tanzania hamna kitu kabisa .
   
 7. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  yangu nimeficha uvunguni
   
 8. Hassan J. Mosoka

  Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  hahahahaha mkuu umedhihirisha kuwa una vijisenti kabisaa, fedha haziwekwi uvunguni zikatoshea
   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mali zote za Lowassa zimeandikwa kwa jina lake. Ni mjasiriamali
   
 10. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Hata ile hotel alikoibiwa mfuska Adam Malima pale Morogoro kaandika jina lake?
   
 11. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ili iwafahamu matajiri wa TZ kwanza yakupasa kujuwa concept ya OFFSHORE BANKING.

  Hao wana mapesa Dubai, Malaysia na Costa Rica.
   
 12. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #12
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Huo ni utajiri uliotokana na uwekezaji wa halali na wa kueleweka. Inafahamika kwamba hao matajiri wetu ni wezi ambao hawawezi ku-justify walikoyatoa mabilioni wanayojivunia na hata kuyatumia kuhujumu maisha ya wenzao. Hata Uhuru Kenyatta anayekadiriwa kuwa na utajiri wa zaidi shillingi za Kenya bilioni 70 hakutajwa kwenye orodha hii, kwa sababu wanajua kwamba utajiri unaotokana na uporaji wa rasilimali za nchibyake uliofanywa na baba yake na yeye mwenyewe.
   
 13. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #13
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mkuu, kuna watu wana pesa Nchi hii na wala hawajulikani mbali ya Bakhressa, kuna Babu anaitwa Mustafa Sabodo, ni moto wa kuotea mbali. Lakini yuko kimyaaaa.

  Mustafa Jaffer Sabodo was born in Lindi, Tanzania to parents of Indian descent. He is an economist, consultant in international debt-finance, philanthropist and abusinessman. He has business interests in India, France, Kenya, Sudan and Zimbabwe.
   
 14. Rohombaya

  Rohombaya JF-Expert Member

  #14
  Mar 11, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 8,263
  Likes Received: 3,099
  Trophy Points: 280
  Mkuu listi za matajiri zipo nyingi sana jaribu kuangalia pia kwenye listi hizi
  1. Matajiri wanamichezo
  2. Matajiri wasomi
  3. matajiri walarushwa
  4. matajiri mafisadi
  5.Matajiri vijana
  nk
  nk
  :peep:
   
 15. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #15
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  utajiri wa EL ni vodacom alphatel alpha dry cleaners alpha high school na hotel kibao
   
 16. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #16
  Mar 11, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kamanda mpaka kesho maandishi hayathibitishi kama ni ya kwake.
  Mimi wakati inajengwa nilikuwa namwona akija jion kavalia kofia pama( kama lile la museven) na Likaptura la Jinsi T shitr miwan mieus kucheki maendeleo ya ujenzi, Loe hii wanasema sijui ya mwanamama gani,,,,,,,,,,
   
 17. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #17
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  EL ana utajiri wa kurithi na mwingine wa jasho lake.Tatizo nini?
   
 18. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #18
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Tuna matajiri wakubwa mno, mtoa mada. Utajiri wao ni wa kificho, kwani source ni questionable na pia ni tax evaders. Mfano, Lft. General wetu alikutwa na account ZA yenye pesa kwa thamani ya Tzs 3 trilion. Haikukanushwa na chombo chochote. EL ana ownership ya makampuni makubwa ya uwakala wa simu, n.k. Ritz 1 bilionea wa kificho a.k.a Mosha n.k. Hawa huwezi kuwaona kwenye chombo chochote. In short matajiri wa kitanzania ni wakwepaji wakubwa wa kodi kama vile Suresh Patel, Y. Manji, Abood, Shabib, EL, Roast Tamu na wengine wengi tu. Laiti watu hawa wangelipa japo nusu tu ya kodi wanayostahili, tusingehangaika kuomba misaada ya vyandarua.
   
 19. Meitinyiku L. Robinson

  Meitinyiku L. Robinson JF-Expert Member

  #19
  Mar 11, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kumbe hata ungeandika "Watanzania Matajiri wako wapi" bado ingemake sense hii kitu ya Lowassa, Lowassa, Lowassa....... inachosha sasa
   
 20. C

  Christiano Ronaldo JF-Expert Member

  #20
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama watanzania tungeacha umbeya, fitina, uongo, upashukuna, chuki, wivu, kusemana (hearsay and witch hunting) na TUKAWEZA KUFANYA KAZI KWA BIDII NA MAARIFA KWA FAIDA YETU WENYEWE NA NCHI YETU, tungefika mbali, lakini wapi! JF humu asilimia 80 ni wa aina hiyo, na wewe ni wa aina hiyo!
   
Loading...