Mgombea ubunge Arumeru mashariki ametoboa sikio

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
5,023
2,553
Kwa mujibu wa taarifa zilizoandikwa kwenye gazeti la leo la Nipashe ukurasa wa ishirini na nane mmoja wa wagomea ubunge amewakasirisha wazee wa meru kwa sababu ametoboa sikio kwa ajili ya kuvaa hereni.
 
ni mgombea gani huyo mkuu?hawajamtaja?
 
sinikawaida ya watu wa makabila hayo kutoboa masikio. Tumeyaona kwa wamasai wamang'ati waarusha wameru na kadhalika. Simkubali sioi ila hoja yakutoboa sikio nahisi haina mashiko pande hizo bt much respect kwa mchango wako
 
Naona mmekosa hoja mmeingia kwenye masikio . Kwani ubunge unaongozwa na masikio ? Acheni kuongea ujinga kama mnakunywa komoni . Alaah !!!
 
sio utoboaji wa kimasai ni ule utoboaji wa kibrazamen su tuseme ule wa kuiga kutoka nchi za magharibi mkuu
 
Kwa mujibu wa taarifa zilizoandikwa kwenye gazeti la leo la Nipashe ukurasa wa ishirini na nane mmoja wa wagomea ubunge amewakasirisha wazee wa meru kwa sababu ametoboa sikio kwa ajili ya kuvaa hereni.

AMETOGA SIKIO.
Nadhani vijana wakazi wanaweza kutuweka uthibitisho.hamuna shida.
 
Naona mmekosa hoja mmeingia kwenye masikio . Kwani ubunge unaongozwa na masikio ? Acheni kuongea ujinga kama mnakunywa komoni . Alaah !!!
Tabia njema ni pamoja na matendo yako
 
Kwani hiyo nayo ni shida? Atakayefanyakazi na wananchi jimboni ni mbunge na sio sikio lake. Watu mnapenda kujadili mambo ya k.i.j.i.n.g.a!

Naamini kabisa kuwa wewe mwenyewe hujatoga sikio na wala hutokubali mwanao wa kiume atoge sikio kwa ajili ya kuvaa hereni
 
Tabia njema ni pamoja na matendo yako

hamnaga hiyo kitu . Mbona mh ana disco ( bills ) na ni sehemu moja wapo ya kuharibu maadili ya vijana . Hizo nazo ni tabia njema ? Acheni hizo . Tushindane kwa hoja siyo kwa mambo yakipuuzi.
 
Sioi arudishwe darasani au apitie tena kidato Cha 3 akasome Topic ya Leadership,kwa kumsaidia zaidi ajue Qualities and Duties of Goodleadership.
 
Back
Top Bottom