JK ateua wakuu wa wilaya wapya

tume huru

Member
Feb 11, 2012
31
5
Kuna tetesi kuwa jk ameteua wakuu wa wilaya wapya. Mmoja wa wateuliwa hao ambaye vilevile ni m/kiti wa UVCCM katika mkoa mmoja wapo wa nyanda za juu kusini, inasemekana ameanza kujigamba na kutishia watu kwa kupata cheo hicho kipya.

Taarifa hizi nimezipata kutoka kwa mzee mmoja anbaye ni rafiki mkubwa wa m/kiti huyo wa uvccm. Alinieleza kuwa m/kiti huyo alimpigia simu na kumpa taarifa za uteuzi huo leo mchana.

Mwenye taarifa atujuze.
 
Wewe mwoga sana kwani kama una uhakika na taarifa yako kwanini usimtaje kwa jina? Hakuna habari nuunusu. Do it perfect or better don't do it.
 
Hivi mimi ndiye sielewi au phone yangu imeingiliwa virusi, mbona heading iko tofauti na kontenti.
 
Mie nilifikiri unataka kumtafutia mwanao shule nzuri ya science kumbe madudu, keep it up.
 
Ni kweli title zimeingiliana na kila nikijaribu kuedit haitaki kubadilika. Title halisi ni "jk ateua wakuu wa wilaya wapya". Labda mods wanisaidie mimi nimeshindwa.

sio umeshindwa na usimuombe mods akusaidie, mwambie mods waitoe kabisa hii sababu ni UONGO!
 
Anataka umaarufu wa ID yake,kama ya DALLAI LAMA.mwambie c lazima uandike thread ati utoke vp
 
Inamaanisha kama ni kweli jamaa ameteuliwa wewe ni mwathirika wa vitisho vyake sawa!
 
MODS,
Futeni threads zisizo na tija kama hii,, imelenga kumuharibia mtu au uchonganishi na chuki binafsi
 
Masaburi na David Cameron at work, chunga sana weye Dalai Lama hizi thread za hovyo zitakuja kukucost cku moja...
 
Ameshawateua kabisa au atawateua muda wowote kuanzia sasa?Hebu mtaje huyo mjivuni watu watupe data zake maana hapa JF watu wanadata za kila mtu hata usalama wa taifa hawaoni ndani!!
 
Back
Top Bottom