Mshauri rais Jakaya Kikwete hatua za kuchukua baada ya mgomo kusitishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshauri rais Jakaya Kikwete hatua za kuchukua baada ya mgomo kusitishwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Father of All, Mar 11, 2012.

 1. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Baada ya rais Jakaya Kiwete kufanikiwa kusitisha mgomo wamadaktari, kwanza nini matarajio yetu kama walengwa?
  Je atatumia nafasi hii ku-buy time ili kuwasambaratishamadaktari bila kuwafukuza wateule wake?
  Je atakuwa makini na kutekeleza makubaliano ingawa serikaliyake naye binafsi mara nyingi si watu wa kuheshimu ahadi zao?
  Je ameamua kuingilia ili kuwadhoofisha madaktari hasakuamini kuwa kadri siku zitakavyokwenda watadhoofika kimshikamano?
  Je kwanini alingoja hadi watu wasio na hatia wapotezamaisha?
  Je ni kwanini serikali yake iliwashitaki madaktari ilhaliikijua kugoma si kosa kisheria?
  Je huu ni mwanzo wa mwisho wa mgomo wa madaktari au mwanzowa mgogoro mzito zaidi?
  Je unamshauri nini Kikwete hasa wakati huu ambapo ameonyeshakuwa wateule wachache ni bora kuliko maisha ya watanzania?
  Nini afanye hili hali iliyotokea isijirudie?
   
 2. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Tatizo lako umeweka maswali mengi kinyume cha title. Nikianza kujibu baadhi ya maswali, hautakuwa ushauri kwa Kikwete bali ni jibu kwa swali lako. Maswali mengine alipasa ajibu Kikwete mwenyewe, kunitaka niingia kichwani mwake halafu nimjibie, naona ngumu. Otherwise, swali lilipasa kuwa moja au mawili ambayo yangetuelekeza kujibu hoja.

  Nitarudi.
   
 3. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Mpelekee hayo maswali ikulu.
   
 4. S

  Setuba Noel JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Awawajibishe kwanza wote walioshindwa kuutatua mgogoro huo, maana ni jambo la kipuuzi kwa rais mwenye mawaziri kuingia ulingoni kufanya kazi za mawaziri wake, hii inamaanisha hao mawaziri hawahitajiki! Awaondoe tu, wote. Hivi kweli katika wizara Katibu Mkuu hatoshi? Waziri kazi yake nini kama si kupiga porojo tu? Awafute kazi.
   
 5. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  wastage of time to try to think Kikwete is up to tasks.
   
 6. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Tatizo lako umeweka maswali mengi kinyume cha title. Nikianza kujibu baadhi ya maswali, hautakuwa ushauri kwa Kikwete bali ni jibu kwa swali lako. Maswali mengine alipasa ajibu Kikwete mwenyewe, kunitaka niingia kichwani mwake halafu nimjibie, naona ngumu. Otherwise, swali lilipasa kuwa moja au mawili ambayo yangetuelekeza kujibu hoja.

  Nitarudi.
   
 7. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mimi naona kuendelea kuwabeba hawa mawaziri ni mwanzo wa kushuhudia mgomo baridi wa madaktari na matokeo yake ni mabaya kama tunavyoona katika sekta ya elimu.
   
 8. t

  thatha JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  wewe unaonaje
   
Loading...