Hivi kwanini wanasiasa wa chadema sijawahi kusikia wakizungumza kipindi cha dakika 45 itv | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kwanini wanasiasa wa chadema sijawahi kusikia wakizungumza kipindi cha dakika 45 itv

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by C Programming, Mar 12, 2012.

 1. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,741
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  Wadau mara nyingi nimekuwa nikifuatilia kipindi cha dakika 45 cha itv......ambacho wanasiasa wengi huwa wanaojiwa ila tokea nimeeanza kuangalia wanasiasa wa chadema mbona sioni wakiwa wanaojiwa kwani sifa ya mtu kuzungumza ni ipi maana naonaga ni vyama viwili tuuu......hivi wadau tunaomba mtujuzee
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hicho ni kipindi maalum cha propaganda cha vyama tanzu CCM na CUF
   
 3. K

  Kizotaka JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kamuulize Semunyu
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hicho kipindi kimesaidia kuokoa shiing ngapi zinazoporwa na mafisadi?
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Nadhani hiki kipindi ni cha kununua!!
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Ni kwa ajili ya kutetea hitikadi za ccm na wenzake ndo maana chama makini hakiwezi kupewa nafasi!!!!!
   
Loading...