CHADEMA: Uzinduzi wa kampeni MWANZA, katika picha

ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,906
6,909
nimetumia kisimu changu cha mchina, nilipiga picha kadhaa za uzinduzi wa kampeni CDM, kumtafuta mrithi wa udiwani kata ya kirumba. Zitto na Highness kiwia walikuwepo.

DSC_0000216.jpg DSC_0000244.jpg DSC_0000246.jpg DSC_0000255.jpg

DSC_0000243.jpg DSC_0000245.jpg DSC_0000247.jpg

watu walikuwa wengi sana kuzidi hata walioenda FURAHISHA kwa Rozi Mhando
 
Back
Top Bottom