CDM kumekucha ndani ya Mwanza Kata ya Kirumba.

Eraldius

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
1,120
906
Napenda kuwafahamisha wana Jf kote mliko na walioko ndani ya Jiji la Mwanza,leo CDM inazindua kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Kirumba.Nimeanzisha Thread hii nikiwa na maana ya kuwafahamisha na kwamba atakaye kuwa na ratiba rasmi atuwekee,na matukio yote ya mkutano mzima

2lichokifanya Mwanza (3).JPG
 
Ratiba:Saa Sita mchana Kumpokea Zitto Mwanza Airpot baadaye Zitto atakwenda nyumbani kwa Marehemu diwani MANOKO kuhani baada ya hapo atakwenda Makaburini kuweka shada la maua ndipo ataelekea moja kwa moja uwanja wa Magomeni-Kirumba kuzindua kampeni.
 
ni kawaida ya cdm kuchakachua picha...hii inadhihirisha
lakini kama kachakachua mbona sioni rangi yoyote tofauti na ya chadema au ya kijani ya mijizi pia mifisadi ya ccm magamba apo???????? Natmai anamaanisha kama aliyosema kuwa kampeni za cdm zinazinduliwa uko mwanza, then kaweka picha ya mkutano wa cdm not necessry uwe uo unaoudhania wewe camon..
 
Baada ya kushinda kesi ya Uchaguzi Ilemela sasa tunakwenda kuchukua Udiwani wetu hapo mjini Nyamagana kama ifuatavyo. Magamba lazima watambalie ulimi mwaka huu. Piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiipooooooooooooozzzzzzzzzzz! Power!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ratiba:Saa Sita mchana Kumpokea Zitto Mwanza Airpot baadaye Zitto atakwenda nyumbani kwa Marehemu diwani MANOKO kuhani baada ya hapo atakwenda Makaburini kuweka shada la maua ndipo ataelekea moja kwa moja uwanja wa Magomeni-Kirumba kuzindua kampeni.
Ng'wana Sweke nilikuwa najiuliza leo umeenda wapi habari za Kirumba tunaletewa na watu wengine!
 
Ratiba:Saa Sita mchana Kumpokea Zitto Mwanza Airpot baadaye Zitto atakwenda nyumbani kwa Marehemu diwani MANOKO kuhani baada ya hapo atakwenda Makaburini kuweka shada la maua ndipo ataelekea moja kwa moja uwanja wa Magomeni-Kirumba kuzindua kampeni.

Mkuu tuletee picha za ufunguzi wa kampeni.
 
...sasa msafara wa CDM unatoka ktk makaburi ya Kitangiri hambapo mweshiwa Zito ameweka shada la maua kwenye kaburi la marehem Manoko aliyekuwa diwani wa CDM kata ya Kirumba...
 
...watu wamehamasika sana,kila tunapopita raia watoka majumbani wakitupungia mikono na kuonyesha alama ya "V" huku wakisema..."PiiiiìiPooooozzzzzzz....
 
...tumefika Kirumba polisi,familia za polisi wanatoka nje...Ehe! Ehe! Ehe!...haya tena mambo yaenda-yakiongezeka,nao wanaoyesha alama ya "V" kama kawaida na wanasema...Piiiiiii Pooooozzzzzz...
 
...Rabaju Ngazi kabitibu wa CUF wilaya ya Ilemela-Mwanza,ktk uzinduzi wa kampeni za udiwani Kirumba asema "mpigieni kura mgombea wa Chadema"...
 
Endelea kaka kutuletea taarifa za mkutano huo wa cdm kirumba,nasi tuna subiria kwa hamu kubwa,
 
jamani hata hao polisi nao wameshachoka,haluna anaewathamini hadi kipindi cha uchaguzi tena hata posho zinaliwa na wakubwa,hao ni ndugu zetu ni vile tu hy nisehemu angalau wanapata kibaba cha unga!
 
Back
Top Bottom