Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Arumeru (CHADEMA) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Arumeru (CHADEMA)

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by AMARIDONG, Mar 10, 2012.

 1. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Wakuu naomba kiujua muda wa uzinduzi wa kampeni za cdm arumeru east sitaki kumis hii kitu ni muhimu sana
   
 2. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Asee we mu-iraq edit basi heading,umechemsha kinoma best
   
 3. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  cjajua muda wa kuanza kampeni huko lakini sta tv watarusha live kuanzia sa tisa alasiri
   
 4. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Kuanzia mida hii ya asubuhi maandamano yanaanza taratiibu. Watakaotokea upande wa mjini watakusanyika Shangarai au tengeru waanza kuja Usa river, na Pia watakaotokea upande wa KIA na Kingori watakusanyika kikatiti na wao waanze kuelekea Usa River.
  Katibu wa chadema wilaya alinieleza kuwa kuanzia saa sita na nusu saa saba mambo yatakuwa yameanza.
   
 5. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  ahsante sana mkuu naamini nitaziwahi nitakuwa kia saa saba so i will be there on time;RAISI MBOWE NAMUAMINI SANA
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Makamanda wengi wameshawasili.

  Zitto, Mbowe, Msigwa, Natse, Nyerere, Lema, Grace kiwelu, Suzan, Joyce, Esther, na wengine wapo njiani....

  photo.jpg
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Vipi Kamanda John Shibuda, nae kaishawasili?
   
 8. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wote hawa wasindikizaji!
  Ushindi upo CCM!
   
 9. RUMANYIKA

  RUMANYIKA JF-Expert Member

  #9
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 315
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Vipi ww upo eneo la tukio au una habarishwa tuu?
   
 10. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  afadhali mkuu utupe updates
   
 11. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  muulize migulu chemba anaujua ukweli
   
 12. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #12
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hakuna kulala mpaka kieleweke.
   
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Siyo Arumeru safari hii tumewashika jiulize mlikuwa mzindue jana mkashindwa mkasema mtanzidua leo mkashindwa sasa nasikia mnazindua jumatatu...mnalo safari hii
   
 14. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kuhusu Update mkuu usiongope hii ndiyo Arusha mtapata kila kitu bila chenga....
   
 15. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #15
  Mar 10, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Crashwise,
  Najua kwenye live coverage uko vizuri sana bila shaka leo tutazindua kampeni kwa pamoja hata wale walioko mbali na arumeru utahakikisha unawaunganisha na matukio moja kwa moja kutoka Leganga!
   
 16. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #16
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  CCM wameshchanganykiwa ndo maana hata hawaeleweki hata tarehe ya uznduz wao. Wameshapoteza dira ktambo sana.
   
 17. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #17
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  pa1 sana Mkuu.
   
 18. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #18
  Mar 10, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hata yeye anaujua ukweli lakini sasa afanyeje zaidi ya vile anavyotakiwa kufanya kwa mujibu wa job description yake hapa JF.
   
 19. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Asante kwa update mkuu,endelea kutuhabarisha na kama kuna uwezekano tupia kitu ya picha mkuu
   
 20. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #20
  Mar 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  2lianza na mungu 2tamaliza na mungu..amen.crashwise nakuja huko saa 8 mchana
   
Loading...