Zitto ndani ya Mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto ndani ya Mwanza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Idimulwa, Mar 11, 2012.

 1. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,385
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wakuu heshima mbele,

  Nipo hapa uwanja wa ndege,yaani watu ni wengi kupita maelezo wala si ushabiki.Nitatupia picha soon.
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,588
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  Aseee
  Haya tunangoja picha
   
 3. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tupia picha haraka Mkuu tuna hamu ya kumwona kamanda akipokewa kishujaa.
   
 4. Kapo Jr

  Kapo Jr JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 896
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Picha ikiwezekana turushie kifaa
   
 5. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ile methali ya kiswahili isemayo "wingi si hoja" siku hizi imepitwa na wakati? Maana watu naona wako bize sana kuelezea jinsi watu "walivyojaa" bila ya kueleza hoja ya watu hao kujaa ni ipi. Zama za utawala wa Warumi watu walikuwa wanajaa uwanjani kuangalia binadamu (wafungwa) wenzao wakipambana na simba. Uwanja mzima ulikuwa ukizizima kwa mayowe!!
   
 6. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,902
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mkuu Sweke, umekosa picha kamanda? Anaelekea Kirumba?
   
 7. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,052
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mwanza ni home of revolution kama zilivyo Arusha,Mbeya...
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,133
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Kwa nini Zito anapokelewa kwa mbwembwe?
   
 9. L

  LAT JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,524
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 0
  mbona hawa kijani kibichi mnawatesa hivi jamani!
   
 10. kakakuona40

  kakakuona40 JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  zitto anatisha sana na anakubalika, wana cdm lini tutampokea slaa, jana mboye alisema yuko vatican kikazi.
   
 11. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,026
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  picha bado tu?
   
 12. Imany John

  Imany John Verified User

  #12
  Mar 11, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Kimeanza kupauka mkubwa.
   
 13. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #13
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 16,201
  Likes Received: 5,655
  Trophy Points: 280
  ila angekua slaa,mbowe, mnyika sawa.!!
   
 14. M

  Molemo JF-Expert Member

  #14
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,252
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Mbona mikutano ya magamba wenzako huropoki hivi?
   
 15. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #15
  Mar 11, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,385
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ni nomaaaa...jiji la mwanza limetikisika loteeeeeeeeee.Picha cmu inazingua ila najitahidi niwa wekee.Tupo Pasiasi Kamanda anatema cheche...Haki ya Mungu ni zaidi ya Arumeru...Star TV wapo chekini saa 2 usiku.
   
 16. M

  Molemo JF-Expert Member

  #16
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,252
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Mtu akikuita paka shume atakuwa amekosea?
   
 17. TODO

  TODO JF-Expert Member

  #17
  Mar 11, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  barabara ya kutokea mwanza airport eneo la pasiasi na nyamanoro kuna foleni.mi nimetokea mjini nimemuona zitto kabwe ndani ya moja ya magari.nahis wanacdm wametoka kumpokea kamanda wao.
   
 18. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #18
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Karibu sana
   
 19. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #19
  Mar 11, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,385
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Achanganywa na mapokezi ya Mwanza kiasi cha kushindwa kuongea...Ni kwenye ofisi za CDM Nyamanoro.
   
 20. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #20
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,319
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Weka Picha tafadhali, alikua ana lilia raha au?sijamuona huyu bwana akilia mie.....
   
Loading...