Zitto Leo Mnafanya Mkutano Kalinzi??

Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
14,402
7,310
Naomba unijuze,kuna watu wa Nyarubanda na Mkigo,wamenipigia simu wananiuliza kama ilo swala lina ukweli.naomba majb Zitto,au mpambe wake anaweza niambia ili niwape majibu wananchi!
Iwa mwema
Wakatabahu
Adharusi(vita,mapambano)
 
Back
Top Bottom