Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukilitazama swala la sakata la mgomo wa madaktari juu juu unaweza kuwalaumu na kuwaita watu wasio na huruma na hawawatendei haki wagonjwa,wauaji,wasaliti,wamekiuka kiapo cha udaktari n.k. Kitu...
15 Reactions
66 Replies
6K Views
Salamu ndugu zangu wana JF, Naomba kuanza na swali lifuatalo kuwa "Wanawake wa nchi hii watabadilika lini na wao kuwa chachu ya mabadiliko yanakuja katika nchi yetu?Nimeamua kuuliza swali hili kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nchi za mbali (za Ulaya na Marekani) wanakuja na kuchukua rasilimali zetu. Madini, nk. Lakini pia wanatumia rasilimali zetu kama Lipumba. Wito wangu ni kwamba Serikali ya CCM ilifikirie hili na...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Dahh, ingawa hii inakuja a bit late, lakini ningependa kuchukuwa fursa hii kuwapa pole nyingi sana wana chadema kwa kushindwa Kitanzini, Iringa. Kweli CCM sasa hawataki mchezo.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Rufaa iliyokatwa na chadema kuhusu utata wa uraia wa sioi sumari mgombea wa ccm umeleta mkanganyiko mkubwa kwa viongozi wa ccm. Inasemekana kwenye vikao nape alionya sana kuwa utata wa uraia wa...
18 Reactions
275 Replies
26K Views
Chanzo: Tanzania Daima Wakulima wa korosho wamwangukia Mbatia na Mwandishi wetu, Masasi BAADHI ya wakulima wa zao la korosho Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara, wameonyesha dalili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwanza naomba MOD waiache hii thread isomwe na ichangiwe.Wana Jf mimi naona kitendo cha CCM kumpitisha Siyoi kitachangia sana kuwa na utitiri wa watoto wa vigogo kurithi nyadhifa za baba zao au...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Picha za leo
22 Reactions
87 Replies
13K Views
Katika uzinduzi wa kampeni juzi jumamosi mwenyekiti wa taifa CDM aliwaeleza wananchi kwamba mbunge moja wa chadema ni sawa na magamba 30 na hivyo kuwaomba wananchi wampatie Joshua kwa kuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Q & A Host:Zembwela na Baruti Nawasilisha.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Sijui wenzetu wengine but huku kwetu hatujalipwa mishahara ya February hadi leo? Naona serikali inafanya mzaha na jasho letu na tumeshachoshwa na hali hii je tunakuuliza mheshimiwa waziri wa fedha...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Zanzibar na Tanganyika katika mezaniPosted on March 11, 2012 by zanzibaryetu Professa Abdul-Shareef akionesha mezani inayoninginia vidoo viwili kimoja cha Zanzibar na nyengine kikiwa na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimezindua kampeni zake za udiwani wa Kata ya Kiwira wilayani Rungwe na kufanikiwa kupata umati mkubwa watu waliofurika kusikiliza sera za chama hicho...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani hii siasa wanayo icheza CCM ya Leo ni ya ajabu sana. Maana itakumbukwa kwenye Kikao cha kamati ya siasa ya Mkoa wa Arusha cha kujadili wagombea ubunge wa Arumeru Mashariki, wajumbe wa Kikao...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Zanzibar SIYO NCHI! Lakini ina kila alama zinazoashiria kuwa ni nchi huru yaani; ina Rais, ina bendera yake na pia ina wimbo wa taifa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mkapa anashitakika - Dk. Slaa na Edward Kinabo Tanzania Daima~Sauti ya Watu CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeendelea kumshinikiza Rais Jakaya Kikwete kumchukulia hatua za...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Chadema kimekata rufaa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kikitaka kuenguliwa katika uchaguzi huo, mgombea wa CCM, Siyoi Sumari kwa maelezo kwamba si raia wa Tanzania. Hatua ya Chadema imekuja saa...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema leo Jumatatu, Machi 12, mwaka huu kitalitikisa jimbo la Arumeru Mashariki katika uzinduzi wa kampeni zake za uchaguzi mdogo wa jimbo hilo utakaofanywa na...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
RIPOTI KWA VYOMBO VYA HABARI. UTANGULIZI Baada ya kikao cha madaktari kilichofanyika leo tarehe 10/3/2012. Madaktari nchini kupitia chama cha madaktari Tanzania (MAT), tunapenda kutoa...
31 Reactions
198 Replies
15K Views
Mhe. Freeman Mbowe akijibu swali, katika mazungumzo kati ya Watanzania wanaoishi Washington DC, USA na viongozi wa CHADEMA. Mh. Mbowe aliulizwa iwapo chama chake ni cha kikabila, cha matajiri na...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…