Wakuu ilikuwa siku nyingi nikijiuliza hivi hawa watu wanaojiita wazee kama sio viraza wanaongozwa na nani, kumbe mwizi na mtuhumiwa ufisadi ile sakata la sukari na sasa insu nzima ya UDA ndugu...
Leo Prof.Lipumba ameongea na vyombo vya habari na kuelezea kuwa katika utafiti aliokuwa akiufanya imebainika uchumi shirikishi ndio njia pekee yakusaidia nchi zenye utajiri mwingi kama...
a mtanzania wa kawaida, nashindwa kuelewa mantiki ya rais JK ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM Taifa kushindwa kabisa kukipa sapoti chama kwenye uchaguzi wa Arumeru Mashariki na kwenda kuongea na...
Salaam, kwa ufinyu wangu wa mawazo nadhani ulikuwa wakati muafaka wa mh pinda kukaa pembeni.
Sasa tunapata picha halisi ya serikali ya jk na maswahiba wake.
Sasa naelewa kwa nini magufuri...
JK kasema hajapewa thuhuma za Wzr na Naibu wake hawana thuhuma?
Je wangapi kweshapelekewa thuhuma zao na akaweweka kando wachunguzwe na vyombo husika?
Nauliza tu
Wakuu,
Mimi huwa napata shida na jinsi huyu mkuu wa nchi anavyolitumia hili neno 'selathini" kumaanisha "thelathini", yaani (30), au wadau wa lugha nyi mnasemaje ...
Nawasilisha.
Pichani Rais Kikwete akiwakoromea wafanyakazi "mbayuwayu" mwaka 2010 na kuzuia mgomo wao
Leo tutashuhudia kujaribiwa kwa Rais Kikwete kama kiongozi. Naamini hakuna kipimo kizuri cha uwezo wake...
Kwenye hii article Home
ameandika kwa urefu sana lakini angeweza kusema mambo hayo yote kwenye ukurasa mmoja tu. Anazunguka mno na kurudia kauli au wazo. Kisha amevunja sana lugha ya Malkia, ni...
Wadau live from USA hapa, inaonekana kama mkutano unadoda, so jamaa wanachokifanya ni kukusanya waendesha pikipiki hapa kwa dau la TSh 30,000 na mafuta unapewa na bendera. sheli kuna foleni...
Najitokeza kwa mara ya kwanza kumuomba na kumshauri mwenyekiti CUF Taifa mheshimiwa Profesa Lipumba kuachana na siasa ili kutenga muda wa kutosha na kulitumikia taifa kwa Uzalendo na umahiri...
Jana nilikuwa kwenye kikao cha wananchi wa Makongo juu kuhusiana na kuendeleza Makongo juu ili liwe eneo la kisasa zaidi, viwanja kupangwa, barabara nzuri na za kisasa, maji na huduma za jamii...
...Jana Profesa Ibrahim Haruna Lipumba alirejea kutoka Marekani. Nilijaribu kufuatilia vyombo mbalimbali vya habari na kuangalia "coverage" ya mapokezi yake. Star TV walionyesha "live" hata hivyo...
Kwenu Mulongo & Namomba;
Hili liko wazi kabisa kwa kuzingatia ile Sheria No. 8 ya 1962 {CAP.266} kwa watumishi wa umma wa kada yenu kwamba kiapo ni kitu cha kwanza kabla utumishi wenu haujaanza...
Naomba kuileta upya...
fuata hii link Twitter
@daudibalali
Tweeting From Jersey Island For Tanzanians Around The World. Nitasema Kweli Daima. Am psychologically unstable.
Jersey Island ·...
Ukilitazama swala la sakata la mgomo wa madaktari juu juu unaweza kuwalaumu na kuwaita watu wasio na huruma na hawawatendei haki wagonjwa,wauaji,wasaliti,wamekiuka kiapo cha udaktari n.k. Kitu...
Salamu ndugu zangu wana JF,
Naomba kuanza na swali lifuatalo kuwa "Wanawake wa nchi hii watabadilika lini na wao kuwa chachu ya mabadiliko yanakuja katika nchi yetu?Nimeamua kuuliza swali hili kwa...