jK ni kweli Dr Mponda na Ma Nkya hawana thuhuma? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jK ni kweli Dr Mponda na Ma Nkya hawana thuhuma?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Watu, Mar 12, 2012.

 1. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  JK kasema hajapewa thuhuma za Wzr na Naibu wake hawana thuhuma?

  Je wangapi kweshapelekewa thuhuma zao na akaweweka kando wachunguzwe na vyombo husika?

  Nauliza tu
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Naomba kauli zake zisije zikapelekea mgomo tena wa hawa ma dr
   
 3. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa wa ajabu sana..alishawahi kusema kuwa hata majina ya wauza dawa za kulevya anayo..cha kushangaza ni miaka kadhaa imepita na bado madawa hayo yanaendelea kutajirisha wachache na kuua vijana na jamii ya watanzania!
   
 4. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  leo amekiri kwamba yeye sio dk.sijui alijisahau?
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Thuhuma=Tuhuma. JK ana mtindio wa ubongo?
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  sure kaka/dada
   
 7. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nimeogopa sana nahisi hotuba yake inaweza chochea hasira zaidi kwa ma Drs. Lets wait n see Drs watakuja na lipi
   
Loading...