Duh! Kumbe Iddi Simba ndiye mwenyekiti wa 'Wazee wa Dar es Salaam'?

kabuga

Member
Nov 19, 2011
78
14
Wakuu ilikuwa siku nyingi nikijiuliza hivi hawa watu wanaojiita wazee kama sio viraza wanaongozwa na nani, kumbe mwizi na mtuhumiwa ufisadi ile sakata la sukari na sasa insu nzima ya UDA ndugu Iddi Simba sasa ndie anasimama nakuanza kuwahukumu madactari wetu wazalendo, kwahili siungi mkono. Naomba maoni yenu kuhusu huu ujinga wa kikundi fulani cha wezi kukaa na kujiita wazee wa dar, na kuanza kuwahukumu madacatri wetu, wakati hao wanao jiita wazee ndio wengine wamepora nyumba ambazo madactari wangekaa, KWAHILI NIMEUMIA SANA
 
Walaaniwe na MUngu, maana bila hata aibu mijamaa inainuka eti Bwana Yesu asifiwe
 
Wakuu ilikuwa siku nyingi nikijiuliza hivi hawa watu wanaojiita wazee kama sio viraza wanaongozwa na nani, kumbe mwizi na mtuhumiwa ufisadi ile sakata la sukari na sasa insu nzima ya UDA ndugu Iddi Simba sasa ndie anasimama nakuanza kuwahukumu madactari wetu wazalendo, kwahili siungi mkono. Naomba maoni yenu kuhusu huu ujinga wa kikundi fulani cha wezi kukaa na kujiita wazee wa dar, na kuanza kuwahukumu madacatri wetu, wakati hao wanao jiita wazee ndio wengine wamepora nyumba ambazo madactari wangekaa, KWAHILI NIMEUMIA SANA

Jamani wana JF, tujaribu kuhukumu kitabu baada ya kukisoma...kamwe tusifikiri kwa mioyo
bali kwa akili zetu...! Nimemsikiliza Kikwete mwanzo mwisho na pia Mzee Simba...ni kweli
mzee huyo antuhumiwa mambo kadhaa yanayozungumzwa humu na kwenye vyombo vya habari,
lakini hakuwahukumu ma-dr hata kidogo, ameonesha concern yake juu ya namna bora ambayo
wazee wanaweza kuishauri kwa haraka serikali katika mambo magumu kabla mambo hayajawa
mabaya zaidi...nilipomwangalia uso wake alikuwa anayomaneno mengi zaidi ila hakuwa na muda.
Huenda alitaka kumkumbusha JK kuwa suala la Wabunge kujiongezea posho ndilo lililochochea
mgomo wa ma-dr, kama ulikuwa ukiangalia TV utagundua walikuwepo watu wachahe waliokuwa
wakishangilia hata pale yaliposemwa maneno yasiyostahili shangwe, lakini wale wazee haswa
walionekana kimya wameshika tama, wamejaa huzuni...Labda waandishi waliopo huko watawahoji
wazee hao pamoja na mzee Simba kama Mil. 7 walizodai ma-dr ni kubwa sana kulingana na za wabunge?
Kazi kwako Mkuu Pasco na wenzio ili mje na balanced stories...
 
Iddi Simba MRUNDI kamwe hawezi kuwa na uchungu na nchi hii. Hakuna tofauti ya Mhindi na Iddi Simba jinsi alivyotayari kutumika kwa lolote ovu ili tu kujinufaisha. Watanzania tujifunze kuwapa nafasi nyeti watu ambao wanaonekana wazi hawana uzalendo na nchi hii
 
Inashangaza kweli, Mtoto wa Idd Simba(CCM) wa kiume Simba kamuoa Mtoto wa Bob Makani (Chadema) Dr. Julie Makani Winner of Royal Society Pfizer

Kutoka%2BKulia%2BBalozi%2BKallaghe%252C%2BMama%2BMakani%252C%2BDr%2B%2BMakani%252C%2BMP%2BO%2527Brien%252C%2BNaibu%2BBalozi%2BChabaka%2Bna%2BMr%2BSimba%2B%25282%2529.jpg

Simba - Kushoto kwenye Picha na Dr. Julia Makani wa tatu kulia...

Mzee Simba alikuwako huko UK pia, kwahiyo ni kiherehere, CCM hawesemi ukweli
 
kutwa utamuona kwenye mgahawa fulani pale mtaa wa chagga na Jamhuri/Libya.
 
Back
Top Bottom