Hapo nimekubali busara ya DR. SLAA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hapo nimekubali busara ya DR. SLAA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by African American, Mar 12, 2012.

 1. African American

  African American Senior Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  423746_390000784363218_100000598993002_1426749_214261591_n.jpg 423561_390002697696360_100000598993002_1426780_908398150_n.jpg
   
 2. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  ni jambo zuri katika kukuza utengamano wa kisiasa
   
 3. Martin Mwila

  Martin Mwila Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  this is nice
   
 4. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO Busara huendana na maendeleo Hongera Daktari
   
 5. B

  BARCA ON Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ni jambo la kumpongeza dr hii inaonesha kakomaa kisiasa.big up dr.
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Dokta si katoka Vatikan mbona hajapokelewa kama Lipumba? au hana jipya?
   
 7. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  safi sana hiyo
   
 8. cjilo

  cjilo JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  wanataaluma waukweli wanaheshimiana ila u-dr wa jk ni cheche
   
 9. l

  libragal Member

  #9
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  kweli kabisa
   
 10. Higash

  Higash JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  unawashwa?
   
 11. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,269
  Trophy Points: 280
  Bakwata na shura ya maimamu ndio iliandaa mapokezi ya Sheik Ibrahim jana na kuksababisha misikiti kukosa waumini na hata adhana zilikuwa hazisikiki.
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Huna jibu.
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Unapowashika pazuri huwa wanaanza jazba, hapo ndipo nnapowapendea magwanda! Balozi wa Vatikan na ma baba (padre) wenzake hakwenda kumpokea?
   
 14. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Jk aliposemekana atakwenda kumpokea zikaanzishwa threads za kumponda hapa hapa JF lakini amekwenda Dr Slaa pongezi kibao. Hiyo ndio Tanzania kadri uijuavyo huwezi kujua tuko hapa kwa maslahi ya nani.
   
 15. M

  Malova JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Inamaana JK aliacha kwenda kwasababu ya kupondwa hapa JF?
   
 16. p

  panadol JF-Expert Member

  #16
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acha kuleta udini kwenye mambo ya kisiasa,tukizoea tabia hiyo itavuruga umoja wa watanzania kitu ambacho si kizuri kwa maendeleo ya taifa letu,kama huna hoja za msingi si lazima uchangie kaa kimya!
   
 17. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #17
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,793
  Likes Received: 3,880
  Trophy Points: 280
  hapa JF panashangaza baadhi ya wanabodi wanatoka nje ya mada na kuanza kushambuliana kwa maneno makali sijui hao nao ni great thinkers au great ******!!
   
 18. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #18
  Mar 12, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Acha kujidhalilisha!
   
 19. J

  Jqnakei Senior Member

  #19
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hyo ndo siasa ya ukweli bila chuki bila hasma ushirikiano kwa kwenda mbele. Big up!.
   
Loading...