Rais wa JMT na neno 'Selathini'!

under_score

Senior Member
Nov 2, 2011
190
45
Wakuu,

Mimi huwa napata shida na jinsi huyu mkuu wa nchi anavyolitumia hili neno 'selathini" kumaanisha "thelathini", yaani (30), au wadau wa lugha nyi mnasemaje ...

Nawasilisha.
 
kumbe unaelewa anamaanisha thelathini sasa unauliza nini tena?? kama huna hoja ya kuchamngamsha vichwa vyetu si uendelee kugida ugimbi tuu aisee
 
kumbe unaelewa anamaanisha thelathini sasa unauliza nini tena?? kama huna hoja ya kuchamngamsha vichwa vyetu si uendelee kugida ugimbi tuu aisee

Angekuwa Slaa ingekuwa issue ila kwa sababu ni ni mtu wa pwani ndiyo maana povu linakutoka.
 
Back
Top Bottom