Prof. Lipumba achana na siasa ulitumikie taifa kwa uzalendo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof. Lipumba achana na siasa ulitumikie taifa kwa uzalendo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NGENDA NGOLOMA, Mar 12, 2012.

 1. N

  NGENDA NGOLOMA Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Najitokeza kwa mara ya kwanza kumuomba na kumshauri mwenyekiti CUF Taifa mheshimiwa Profesa Lipumba kuachana na siasa ili kutenga muda wa kutosha na kulitumikia taifa kwa Uzalendo na umahiri mkubwa. Binafsi namheshimu sana na kumkubali msomi huyu. CV ya huyu jamaa imesheheni vilivyo na haitiliwi mashaka na ulimwengu ndiyo maana alikuwa anaongoza jopo la wasomi na wachumi Duniani. Kuachia ngazi kwa prof Lipumba kuna maana kubwa na kutawapa fursa kwa watanzania wote bila kujali itikadi zao za vyama kumpa ushirikiano wa kutosha. Tafadhali mheshimiwa Prof. Lipumba zingatia ushauri wangu kwa ajili ya mstakabali wa taifa letu
   
 2. N

  NGENDA NGOLOMA Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli hata milele naendelea kumuenzi Lipumba
   
 3. M

  Mgongo wa paka JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 486
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  acha woga sehemu ya kulitumikia taifa ni sehemu ya kisiasa. Kuwapo ktk siasa ndo kunampa nafasi ya kulitumikia taifa je umeambiwa ukiwa ktk siasa huwezi kulitumikia taifa?
   
Loading...