TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,872
- 11,253
a mtanzania wa kawaida, nashindwa kuelewa mantiki ya rais JK ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM Taifa kushindwa kabisa kukipa sapoti chama kwenye uchaguzi wa Arumeru Mashariki na kwenda kuongea na wazee katika muda ambao kampeni za chama chake ndio zinazinduliwa rasmi
Napata tabu zaidi kuelewa iwapo hii hotuba yake kwa wazee wa CCM Dar ilikua ni urgent kiasi kwamba isingeweza kusubiri hata kehso tu, au basi hata leo usiku
Nashindwa kabisa kuelewa, kumuelewa na kuelewa lengo lake washauri wake