CCM Arumeru wanahonga pesa watu waende mkutanoni

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
Taarifa nilizozipata sasa hivi ni kuwa ccm wanahonga watu pesa ili waende kwenye mkutano wao huko Arumeru.
 
Kuleni pesa hizo kwasababu ni zenu. Lakini wamwageni. Jamaa aliyetuambia watu wamefurika, sasa pesa za nini kama watu wamefurika?
 
Kueni na uhakika na kile mnachosema ili watu wawaamini makamanda kwa vile hauna haki ya kuzungumza kama hauna ushahidi
 
mimi mwenyewe nimeshuhudia,kuna dingi kaja na mihele yake mitaa ya kilala akaanza sound kuwashawishi bodaboda wakamtoa nduki...
Wenzao wameshawishiwa na elfu 30,yeye kaja na elfu 10,jamaa wakamwambia yaani unachakakua hadi hela za kampeni,tokatokatoka...
Akapanda VX yake aka ondoka...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom