Mkutano wa ufunguzi unadoda hapa live from usa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa ufunguzi unadoda hapa live from usa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Imma01, Mar 12, 2012.

 1. I

  Imma01 Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wadau live from USA hapa, inaonekana kama mkutano unadoda, so jamaa wanachokifanya ni kukusanya waendesha pikipiki hapa kwa dau la TSh 30,000 na mafuta unapewa na bendera. sheli kuna foleni mbaaaayaa wanawekewa mafuta tu saiz. Kama una toyo embu jongea eneo la tukio hapo Magamba yakuweke mjini maramoja.

  Wamepiga nyimbo za aina zote zote tangu asubui watu hawasogei, bolingo, mduara, takeu, hip hop, comedy, reggge lakina holaaaa.....
   
 2. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Hahahaha watahaha hadi magamba yababuke
   
 3. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa . tupe na picha basi za tukio zima ikiwezekana
   
 4. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Nimepita hapo muda wa saa tano pamedoka kweli
   
 5. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wanajua wanakula CCM wanalala CDM, wito kwa wote wakele hela za mafisadi leo lakini wanajua jukumu lililo mbele yao ni kudondosha goliathi siku ya tarehe 01.04.
   
 6. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #6
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  picha huongea. tafadhli rusha humu
   
 7. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  WAKIONDOKA WANAKWENDA KUPANGA MIKAKATI YA KUKWIBA KURA. HII LAANA YA KUIBA KURA ZA WANYONGE NDO INAKIMALIZA CHAMA.NAWASHAURI CCM WAKITAKA USHINDI BASI WAACHE KUKWIBA KURA za Wanyonge.
   
 8. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hayo ndiyo majibu waliyokuwa wanajitapa kujibu mapigo ya CDM,
   
 9. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,640
  Likes Received: 1,428
  Trophy Points: 280
  Leo hamna mabeseni ya ubwabwa?
   
 10. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  sisi tunajivunia pesa nyinyi mnajivunia hoja wananchi wananjaa ngoja tuangalie watafuata pesa au hoja @ "magamba"
   
 11. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  tunaomba picha.....
   
 12. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  huu mkutano hakuna tv inayouonesha?
   
 13. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #13
  Mar 12, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Tunaomba Picha mapema kabla hawajachakachua
   
 14. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  mpaka sasa tv yao inapiga taarabu, bi shakilla ndo amemamaliza
   
 15. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  kula ccm, kura cdm! Ningekuwa hapo naenda nachukua hela,mafuta kibendera chao naweka mfukoni huyooo,arusha mjini. Jioni narudi zangu.
   
 16. M

  Malova JF-Expert Member

  #16
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  tutupieni mapicha tuone
   
 17. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #17
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mimi hata siamini!! subiri hadi mida ya saa tisa hadi kumi! saizi watu wanakunywa kwanza!
   
 18. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #18
  Mar 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  fanyeni mpango wekeni picha sisi hatuamini
   
 19. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #19
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Watu wanasemaje kuhusu kudoda huko?
   
 20. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #20
  Mar 12, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,503
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Time bado, utashangaa malori yanashusha watu kibao anytime from now!!! Wanajua kuwa hawawezi kuvuta watu biba kufanya hivyo!!
   
Loading...