JK alionekana ni tumaini kubwa kwa vijana wan chi hii wakati anajitayarisha kuingia madarakani. Mapema mwezi May 2005 aliporudi Dar kutoka Dodoma baada ya CCM kumteuwa kugombea urais msafara wake...
Wana JF kama mlivyoona baada ya CHADEMA kuleta wabunge wake makini Arumeru na kumwaga CHECHE katika ufunguzi,Leo wabunge wa CCM wamefurika mjini hapa kwa ajili ya Kujibu mapigo,Guest na Hoteli...
Hivi, wazee wa dar wakiumwa watakimbilia wapi? Au ndo kukosa maarifa? Maana ni ukweli usiopingika katika watu ambao wangetakiwa wawe mstari wa mbele katika kutetea maslahi ya madaktari basi ni wao...
CCM walipanga kurusha uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa arumeru live kupitia STAR TV, imethibitila imeshindikana. Kushindikana huku pamoja na kuwa mmiliki wa kituo hicho ni kada wa ccm kunatokana...
CCM ili kupiku umati ulikuwa siku ya uzinduzi wa kampeni ktk uchaguzi mdogo Arumeru Mashariki,CCM wamegharamika kwa kukodi bodaboda zote zikusanye watu tumeshudia leo msulululu wa bodaboda kwenye...
Umati wa wafuasi wa Chama cha CUF umejitokeza kumpokea Mwenyekiti wa Chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere alipowasili akitokea Marekani ambapo...
JUMATATU, 12 MACHI 2012 05:46 NA JOHN MADUHU, MWANZA
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta ametamba kuwa yeye ni chuma cha pua na kuwataka wananchi wasichague viongozi kwa...
Ndugu zangu,
Ni Jumatatu usiku. Siku inaelekea ukingoni. Naandika nikiitafakari siku ya leo. Kwangu haikuja na jipya. Ni yale yale. Moja kubwa ni dhahiri, kuwa Watanzania bado tuna safari...
Kiongozi wa kiwango cha Tendwa anapaswa kuwa na upeo wa hali ya juu katika utoaji wa tamko na kabla hajatoa tamko anatakiwa kufanya tathmini ya kutosha na kujiridhishwa kwamba anachosema kina...
Kutokubalika kwa Waziri wa afya na naibu wake kulikosababisha madaktari
wampe JK masaa 72 kuwaondoa katika wizara hiyo ni pamoja na waziri kuwaita
interns madaktari wanafunzi.
Kwa mliopitia...
Nimesikitishwa na mbwembwe alizokuja nazo Ibrahim Lipumba. CUF wameona wanakufa wakaanza mmbwembwe.
Heri JK hakuja kumpokea. Hii ndo maana watanzania hatuendelei. Kitu kidogo kelele kibao, Wapo...
BBC imeripoti kuhusu Raisi kuongea na wazee wa Dar es salaam.
Ila nimeguswa na comments moja ambayo mwandishi wa BBC aliyeko Dar es salaam amesema kuhusu Mawaziri.
Amesema kuwa anashangaa...
Ninashindwa kuelewa serikali inavyochezea madaktari. Yawezekana huu ukawa mpango wa mafisadi wawachokoze madaktari ili wazile kuwatibu walalahoi. Wao na watoto wao watatibiwa nchi. Halafu...
Kuna tetesi zimeenea kuwa leo hii Mwenyekiti wa CCM Taifa Mh JK atahutubia taifa kupitia mkutano wa ufunguzi wa kampeni wa chama chake cha CCM. Atafanya hivyo kujibu mapigo ya Mwenyekiti wa...
Chadema kimekusanya Sh8 milioni kutokana na harambee ya kukichangia iliyoanza juzi katika uzinduzi wa kampeni za jimbo hilo.
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba alisema fedha...
wa kwanza kulia mwenye kofia ya njano na suti ya kijivu na shati la bluu ni mzee SUMARI, mkuu wa washili wa koo zote za meru, anatoka ukoo wa Sumari na pia anaishi jirani kabisa na nyumbani kwa...
Mratibu wa Kampeni wa CCM, Bw Mwigulu, leo mjini Usa River alipokuwa akimnadi mgombea ubunge wake Bw Sioi Sumari, alizungumzia masuala ya ushoga na masharti tuliyopewa na Waziri Mkuu wa Uingereza...