Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Spika Wa Bunge Akutana Na Ujumbe Wa Timu Ya Kujitathimini Katika Maswala Ya Utawara Bora Barani Afrika Wajumbe wa timu ya kujitathimini katika maswala ya Utawara Bora barani Afrika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wiki moja tangu kuzinduliwa kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Arumeru Mashariki, nimeamua nifanye tathimini juu ya mwelekeo na mwenendo wa vipengele (components) 6 kama vilivyojidhihirisha na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hebu soma habari hii uone jinsi ambavyo CCM imechoka na kutegemea kundi la vikongwe na akina mama. Nadhani ndio maana wameshinikiza NEC isi-update daftari la wapiga kura. Endelea.... Title...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kati ya maswala ambayo yamenichukua mda kuyatafiti pasipo majibu ni hili la watanganyika kutolalamikia muungano tofauti na wazanzibar ambao wako mstari wa mbele kuonyesha kosoro zake na kulilia...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Jibu la swali hili ambalo liko wazi ndiyo litafutiwe kauli mbiyu (slogan) muruwa iliyo fupi na kutumiwa na viongozi wa CDM kuanzia sasa katika kampeni zao majukwaani, kuanzia Arumeru. Na pia...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kampeni za uchaguzi ndani ya jimbo la arumeru zimepamba moto huku upepo wa kisiasa ukivuma vibaya kwa chadema baada ya kupoteza mvuto kwa kasi ya ajabu ndani ya Jimbo la arumeru. Aidha kwasasa...
1 Reactions
82 Replies
8K Views
Waziri mkuu aliyelazimishwa kujiuzulu kwa kashfa ya Richmond na mbunge wa Monduli Edward Ngoyai Lowassa si chochote kama anavyotaka tuamini. Ni chui wa wakaratasi, ni mbwa anayebweka sana lakini...
1 Reactions
51 Replies
5K Views
Awali mwisho wa wadau wote kuwasilisha majina ilikuwa Jana Machi 16 ambapo majina yalitakiwa kuwa yamefika kwa Katibu mkuu Kiongozi. Hata hivyo JK amesogeza mbele muda huo na kudai kuwa huenda...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
kwa taarifa ni kwamba mmiliki wa nyumba ambayo inatumika kama makao makuu ya chama cha UDP alishindwa kulipa deni na kupelekea nyumba hiyo kupigwa mnada.sijapata uhakika kwamba mnada huo...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa wanaopenda kutafakari napenda kuwakaribisha katika tafakari yangu hii. Waweza kuipanua, naamini itakusogeza hatua kadhaa mbele katika uchambuzi wa mambo. 1. Uhai wa mtanzania ni nini...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanajamvi, salaam. Najaribu kuvuta picha nashindwa! Nisaidieni: HIVI utata wa Uraia wa Siyoi, ulioibuliwa kwanza na wana CCM wenzake kabla hajapitishwa kugombea Ubunge kisha baaadae kuwekewa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Pinda.alishindwa kumtimua jairo,akidai rais ndio mwenye mamlaka.sasa leo ameweza kumtimua katibu mkuu wizara ya afya?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kafulila ni mwanamapinduzi. Ana uwezo mkubwa wa kuangalia beyond NCCR. Tunakuomba uonyeshe uzalendo na ukomavu wako kwa kwenda kuwasaidia chadema kwenye kampeni Arumeru. Ukifanya hivyo imani ya...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Hadi kesi itakapoisha tutajionea kila aina vituko katika kesi hii Baada ya Juzi Lema kuanza kuhutubia mahakamani kwa kusema Pipoooozzzzzz......., Safari hii Jaji Gabriel Rwakibarila amegeuka kuwa...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Jamani taarifa nilizozishuhudia mwenyewe ni kwamba baada ya DK SLAA kukusanya umati mkubwa jijini mwanza KIRUMBA katika kampeni za nafasi ya udiwani,,,ni kwamba CDM walipomaliza mkutano wao mida...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Nanukuu kwenye gazet, ukweli wa kifo cha mwalimu Nyerere anayeufahamu ni daktari wake katika hospitali ya mtakatifu Thomas iliyopo Uingereza ambako mwasisi wa taifa alilazwa na kupatiwa matibabu...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Jamani ee.. Habari zenu wana Jf. Sasa bila kujikanyaga, Mimi naomba nipewe utaratibu wa kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tz. Yaani Mhe. JAKAYA .M. KIKWETE. Nina shida naye sana japo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serekali ya Mungano wa (Tanganyika +Zanzibar )Tanzania iwe makini katika mgao wa pesa za Rada, Zanzibar wapewe sehemu,ambazo zimeanza kulipwa kwa serekali ya Tanzania .
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanajamvi, pamoja na kwamba ,mimi binafsi navutiwa na chadema lakini bado natishwa namna umakini katika kukiimarisha chama. Chadema kimekuwa kikionyesha umakini katika mambo yale yanayovuma...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Nikiwa nimepumzika nikiwaza hili na lile juu ya uovu wa CCM kwa nchi yetu TZ, na jinsi juhudi zinazochukuliwa na watawala ktk kushughulikia ufirauni wa CCM, ghafla nikajikuta nakikumbuka hiki...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Back
Top Bottom