CHADEMA; Nini kipaumbele chenu?

majata

JF-Expert Member
Oct 7, 2010
431
179
Wanajamvi, pamoja na kwamba ,mimi binafsi navutiwa na chadema lakini bado natishwa namna umakini katika kukiimarisha chama.
Chadema kimekuwa kikionyesha umakini katika mambo yale yanayovuma kama kupigia kelele makosa ya wapinzani wao, lakini bado chadema kinadalili zilezile za wapinzani, mfano ni usiri wa matumizi ya ruzuku za chama na uduni wa ofisi za chama mikoani.

Inasikitisha kusikia watu wakijikopesha mapesa wajenge majumba kwa pesa za kuendeshea chama wakati kunamikoa haina hata ofisi, yaliyokipata cuf nifunzo kwa vyama vingine kuhusu ni vitugani vitangulizwe, kama vipaumbele vya chama visipowekwa mbele chadema kitapoteza mvuto kabisa.
 
Sema wazi umetumwa; hutawapata CDM kwa upuuzi huu
 
Unapoteza muda tushakufahamu,umerudi tena. Chadema woote hawadanganyik ng'o. Ishu kubwa ni MKAPA KUMUUA NYERERE! Mnajaribu kufunika kombe! Halifunikiki ng'o.
 
ndio tatizo lenu watu masikini mlivyo yani huwa hamridhiki na chama chochote kile wala harakati zozote zile katika kupigania ukombozi wa taifa lenu na badala yake mmekuwa siku zote mkikemea nakukosoa bila sababu wale wote wenye nia njema ya kuwapigania na kuwapaka matope alafu mkidhani mnakomesha kumbe mnajikomesha wenyewe. hata ktk harakati za mageuzi ya uhuru haya mambo ya kuwakomoa waasisi wenu yalikuwepo, sasan ni vyema mkajua kwamba mnayoyafanya leo mkidhani mnaikomoa chadema mjue mnajikomoa ninyi wenyewe pia ni vyema juhudi za fitina zenu mngezielekeza kwa ccm kuliko kwa chadema.
 
Ok sikatai maoni yenu, labda kweli ninania mbaya na chadema lakini vipi niliyoyasema kama yakitekelezwa yatakibomoa chama au yatakijenga? Sikuzote ukweli unauma lakini ukiutekeleza inasaidia kunyoosha mambo, ninaimani kwa wote wanao ona mambo vema wataunga mkono na hatimae chadema itasonga mbele.
 
Kila taarifa inapotoka chadema huwa unaipata.....Au unataka tariifa ya matumizi itumwe kweye e-mail ya kila mtu wa nchi hii au iwekwe facebook...Taarifa zipo njombi zitafute utazipata.
 
Ok sikatai maoni yenu, labda kweli ninania mbaya na chadema lakini vipi niliyoyasema kama yakitekelezwa yatakibomoa chama au yatakijenga? Sikuzote ukweli unauma lakini ukiutekeleza inasaidia kunyoosha mambo, ninaimani kwa wote wanao ona mambo vema wataunga mkono na hatimae chadema itasonga mbele.

we mwenyewe ni mlala hoi2 kwanza ni maskini alafi unataka kujua ruzuku ya chadema 4 what? we sio hata mwanchama ni bora uende makao makuu ya chama ukaulze huo ubakwata wako.
 
kipaumbele cha cdm ni kuhakikisha tunapata uhuru na matunda ya huo uhuru yanawanufaisha watanzania wote
 
jina lako lipo kwenye daftari la attendance ya mirembe, vp bado 2 hujaripoti au unasubiria uchaguzi wa bakwata ufanyike kwanza? pole sana....

Wakuu, wakati mwingine tusimkatishe mtu akisema jambo, huenda ana mifano halisi ambayo akipewa nafasi ya kusema anaweza akawa msaada tukajua mapungufu yalipo na kuyafanyia kazi. Hivyo pamoja na kuwa na imani kubwa na wana Chadema wote nchini, ni bora tukapata hata mawazo tofauti mradi tu tuyatafakari na kuyafuatilia yasije yakawa ni ya uzushi kwa lengo la kuharibu hali ya hewa chamani. Ni mtizamo tu waheshimiwa.
 
Ok sikatai maoni yenu, labda kweli ninania mbaya na chadema lakini vipi niliyoyasema kama yakitekelezwa yatakibomoa chama au yatakijenga? Sikuzote ukweli unauma lakini ukiutekeleza inasaidia kunyoosha mambo, ninaimani kwa wote wanao ona mambo vema wataunga mkono na hatimae chadema itasonga mbele.
Pilipili usioila yakuwashia nini? Utasutwa mwanaume mzima!
 
Ni kulinda na kuweka mgawanyo sawa wa rasili mali za nchi kwa watanzania wote.
 
Kipaumbele ni kuikomboa nchi hii kielimu ili watu kama wewe muelimike na kuacha kufikiria kwa kutumia masaburi. Elimu bure hadi kidato cha sita
 
Wanajamvi, pamoja na kwamba ,mimi binafsi navutiwa na chadema lakini bado natishwa namna umakini katika kukiimarisha chama.
Chadema kimekuwa kikionyesha umakini katika mambo yale yanayovuma kama kupigia kelele makosa ya wapinzani wao, lakini bado chadema kinadalili zilezile za wapinzani, mfano ni usiri wa matumizi ya ruzuku za chama na uduni wa ofisi za chama mikoani.

Inasikitisha kusikia watu wakijikopesha mapesa wajenge majumba kwa pesa za kuendeshea chama wakati kunamikoa haina hata ofisi, yaliyokipata cuf nifunzo kwa vyama vingine kuhusu ni vitugani vitangulizwe, kama vipaumbele vya chama visipowekwa mbele chadema kitapoteza mvuto kabisa.

Mkuu nakubaliana na wewe kabisa hasa kwenye baadhi ya ofisi za chadema mikoani kiukweli majengo hayaridhishi kabisa mfano..Iringa mjini ukiangalia ofisi ya chadema siyo ya hadhi ya chadema, ndiyo pamoja na harakati zingine za ukombozi lakini suala la kujiimarisha kwenye ujenzi wa ofisi pia mi naona ni wazo zuri2! Nimependa sana mawazo mkuu!
 
Listen na watch as twice than u speak. kamwe usimwamini mwanadamu ukamtumainia. Penda chama kwakuwa kina sera nzuri na kinaishi kwa hizo sera. Ukifuata chama kwa kumpenda mtu mwisho wasiku akifanya madudu unabaki kutetereka na kukimbia vyama.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom