Kati ya Chadema na CCM ni chama kipi kimefanya ufisadi mkubwa wa kuwatia Watz umasikini

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Jibu la swali hili ambalo liko wazi ndiyo litafutiwe kauli mbiyu (slogan) muruwa iliyo fupi na kutumiwa na viongozi wa CDM kuanzia sasa katika kampeni zao majukwaani, kuanzia Arumeru.

Na pia napendekeza slogan hiyo ndiyo iwe namna ya kusalimiana wana-CDM popote pale na katika simu.

Nawaomba wana-CDM wapendekeze hapa ufupisho wa slogan hiyo na utangazwe rasmi na Cdm.
 
Duh! Safi sana wazo hilo! Napendekeza: 'Pipoooz juuuuu. . . . Mafisadi CCM ziiii. . . '
 
Nina wasiwasi mmoja - yule Tendwa wao atajitokeza na kujidai kukataza - eti ni matusi! Wakati yule chimp wao - sorry, Wassira anapotukana jukwaani yeye hukaa kimya.
 
What a forgotten move from CDM. Move fast to make that a reality!
 
''CCM tokeni madarakani na sisi tuibe''..Slaa

CCM mafisadi wakubwa, CDM mafisadi wadogo! (title)
 
Jibu la swali hili ambalo liko wazi ndiyo litafutiwe kauli mbiyu (slogan) muruwa iliyo fupi na kutumiwa na viongozi wa CDM kuanzia sasa katika kampeni zao majukwaani, kuanzia Arumeru.

Na pia napendekeza slogan hiyo ndiyo iwe namna ya kusalimiana wana-CDM popote pale na katika simu.

Nawaomba wana-CDM wapendekeze hapa ufupisho wa slogan hiyo na utangazwe rasmi na Cdm.

Sasa chama kinachoanza ufisadi kabla hata hakijaingia madarakani ikitokea kikashika hatamu itakuaje? Bora ungesema chama chochote ambacho bado hatujasikia kina kashifa ya ufisadi. Ikiwa CDM wanafisadiana wenyewe kwa wenyewe wakiunda serikali hawa itakuwa balaa.
 
ivi unadhani cdm isingekuwa na jeuri ya fedha na wasomi ccm wangekuwa na presha yoyote
:A S crown-2:
 
Sasa chama kinachoanza ufisadi kabla hata hakijaingia madarakani ikitokea kikashika hatamu itakuaje? Bora ungesema chama chochote ambacho bado hatujasikia kina kashifa ya ufisadi. Ikiwa CDM wanafisadiana wenyewe kwa wenyewe wakiunda serikali hawa itakuwa balaa.

bila shaka we ni mtoto wa nje ya ndoa.
 
Back
Top Bottom