Mabomu yarindima jijini mwanza baada ya kampeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabomu yarindima jijini mwanza baada ya kampeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JALUO, Mar 17, 2012.

 1. J

  JALUO Senior Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamani taarifa nilizozishuhudia mwenyewe ni kwamba baada ya DK SLAA kukusanya umati mkubwa jijini mwanza KIRUMBA katika kampeni za nafasi ya udiwani,,,ni kwamba CDM walipomaliza mkutano wao mida ya saa 12 walianza kushuka polepole wakiwasindikiza viongozi wao kwani walikua hawana escort ya polisi,,,kufika kirumba jirani na kituo cha polisi wakakutana na GREEN GUARD ya ccm wakiwa na rundo la mawe hapo ndipo fujo zilipoanza kwa vijana wa ccm kutaka kuuzuia msafara wa dr.slaa,,,na hyo ilikua ni kama kupima nguvu ya cdm mbele ya kiongozi wao wanae mwamini kua ni jembe AKA,,,,RAIS....HAPO POLISI WAKAANZA KURUSHA RISASI MOTO KADHAA ZIKIFATIWA NA MABOMU YA MACHOZI YALOTIA KERO KWA WANA CDM WALOKUA WENGI HUKU CCM WAKIACHWA BILA KUBUGHUDHIWA LICHA YA KUANZISHA VURUGU,,,

  KIKUBWA NAWASHUKURU POLISI KUA HAWAJATUMIA NGUVU KUBWA ZAIDI KAMA KAWAIDA YAO,,LAKINI KUNA TETESI ZA KUKAMATWA BAADHI YA VIJANA WA CDM,,LICHA YA WABUNGE WA CDM KUTAADHALISHA KUA HYO MBINU WALISHAIBAINI YA POLISI KUTOA VISAGO NA VITISHO ILI WANANCHI WAOGOPE KUHUDHURIA MIKUTANO YA CDM.

  PAMOJA NA HAYO YOTE DK, SLAAA AKIWA NA MKE WAKE AMEYATOLEA MASUALA MBALIMBALI YA KIZUSHI YALOELEKEZWA KWAKE LIKIWEMO SUALA LA POSHO ANAYOPATA YEYE NA MKE WAKE,,NAULI YA KWENDA MAHAKAMANI ARUSHA,,NA NDIPO UZUSHI MWIIINGI UKAONEKANA NI ***** TU NA WANANCHI WAKAISHI KUMPIGIA MAKOFI KEDEKEDE,,,,,

  VILEVILE KWA UZITO AMEELEZA KUSIKITISHWAV NA WIZI WA FEDHA ZA MALIPO YA WALIMU HUKU AKIKIRI KUPOKEA NYARAKA MUHIMU ZINAZOONESHA HUO UBADHILIFU UNAOENDELEA KUFANYWA NA MR.KABWE AKA MKURUGENZI WA JIJI LA MWZ.AMEDAI HIZO NYARAKA MUHIMU AMEZPATA TOKA CHANZO KIMOJA ATAZIFANYIA KAZI KUANZIA LEO NA WENDA HUU UKAWA UKOMBOZI KWA WALIMU JIJINIO MWANZA......

  NAOMBA NIISHIE HAPO KWA LEO BUT CDM WANATISHA,,,,,WATU 239 WAMERUDISHA KADI ZA CCM KUANZIA SAUT MPAKA KIRUMBA .POLENI CCM KWA KIPIGO HICHO NA POLENI CDM KWA MABOMU
   
 2. w

  wa home JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Slaa jembe. Ccm wamechemka hawana jipya mafisad.
   
 3. commited

  commited JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Naamini zitakuwa habari za kweli nduguyangu.. Poleni sana cdm na nduguzangu wapenda mageuzi.. Hatuna budi kushikana na kuwatokomeza makaburu weusi (ccm). Narudia tena adui no moja kwa watanzania ni ccm na vikaragosi vyake (polisi, mahakama,tiss,).. Kuendelea kuikumbatia ccm ni kukubali ujinga, maskini, uporaji wa ardhi na madini yetu, sisiemu na watu wake siku zote wanaamini wao wako juu ya sheria.. Tumeona watu wanauwa na polisi kila siku watu wanabambikwa kesi za ubakaji serikali imetulia tu. Wao wanabinaadamu (polisi, majaji, mahakama, usalama wa taifa etc) lakini sisi tuna mungu.. Huwezi kuzuia mvua kunyesha kama inataka kunyesha itanyesha tu.. Mabadiliko yatakuja tu hata kama ni baada ya miaka 50.. Wajukuu na vitukuu vyetu vitawajibisha wote waliotuibia siku moja.. Kama unajua maana ya kesho na thamani ya nchi hii huwezi kushabikia na kuichekea tena ccm na watu wake.. Ni wezi na wauaji.. Hawataki mtu aerevuke. One day yes.ova
   
 4. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Pole wana Mageuzi. Ukombozi hauji kirahisi. Ndo mapambano yameanza safari bado ni ndefu. Kaza boot
   
 5. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Liongo hili mbona hsta mimi nilikuwepo kilumba polisi hsta hujui ugonvi umeanzaje unskurupuka ovyo tu.
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  ccm mtatumia kila aina ya mbinu chafu ili mwendelee kusalia madarakani ila mwisho ni mwisho tu kwani siku ya kufa kwa nyani miti yote huteleza itafika wakati hata hao police mnaowatumia wmatashindwa kuwavumilia
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hilo la ufisadi hakuna asiyelijua kwani hata mtoto aliyezaliwa leo anajua ccm ni wezi na malaghai
   
 8. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  Humu jamvini members wenye damu yako isiyo na group wanajulikana nawe unawajua watumwa wa kifisadi kama wewe!

  polisisiem wanayofanya siyo nia yao ni utumwa toka kwa mapapa tu lakini iko siku wataacha hayo mabomu na silaha wataweka chini na wataungana na NGUVU YA UMMA na hapo nawe ukiwa mtumwa wa mafisadi sijui utapost nini humu jamvini.

  Tumia kichwa kutafakari na siyo masaburi yako shwain wee!

  Kama umezoea kule kimbelembele chako humu usifikiri na member wote wako kama wewe!
   
 9. Mtoto Wa Mbale

  Mtoto Wa Mbale JF-Expert Member

  #9
  Mar 17, 2012
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Unapotetea wezi na wafujaji wa rasilimali za Taifa (ccm) unajisikiaje?
   
 10. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #10
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nawe eleza ulikuwaje,usiishie kusema mwongo.inaelekea we ndo mwongo.
   
 11. C

  Chan Senior Member

  #11
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Binti mbona povu jingi? Kunywa maji kwanza.
   
 12. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #12
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hakuna kukatatamaa,tuzidikushikamana na kusonga mbele.
   
Loading...