Utata Uraia wa Siyoi, Ingekuwaje kama angekuwa ni Nassari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utata Uraia wa Siyoi, Ingekuwaje kama angekuwa ni Nassari?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by chuwaalbert, Mar 17, 2012.

 1. c

  chuwaalbert JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 3,054
  Likes Received: 1,440
  Trophy Points: 280
  Wanajamvi, salaam. Najaribu kuvuta picha nashindwa! Nisaidieni: HIVI utata wa Uraia wa Siyoi, ulioibuliwa kwanza na wana CCM wenzake kabla hajapitishwa kugombea Ubunge kisha baaadae kuwekewa pingamii na CDM, INGEKUWAJE kama mwenye utata huo angekuwa Joshua Nasari? Yaani, spidi ya NEC kushughulia ishu hiyo ingekuwaje na pengine nini yangekuwa maamuzi?
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Wala isingefika NEC, mwenyekiti wa serikali za mtaa angemsimamisha mara moja.
   
 3. P

  Ponera JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 556
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yaani uchaguzi ungekuwa kati ya ccm na tlp, nec wangeshamtupilia mbali nasari, umesahau walivyomtupilia mbali mwenzao bashe.
   
 4. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mkuu naona una hukumu kitu ambacho akijatokea.
   
 5. p

  politiki JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  swala la uraia wa siyoi limeamuliwa kisiasa badala ya kisheria kwani haikuwa kazi ya Nasari kutafuta ushahidi kuwa Siyoi ni raia wa kenya ni kazi ya uhamiaji kuwasiliana na uhamiaji wenzao kenya kuthibitisha hilo nashangaa nchi hii kwa polisi au vyombo vya dola kuwahambia wananchi wafanye kazi yao ya kukusanya ushahidi kwa niaba yao wakati mwananchi anachotakiwa kukifanya ni kutoa TIP tu na wao ndio inabidi waifanyie kazi. anyway mpaka siku tutapokuwa na separation of power ya kweli mambo kama lazima tuyatarajie
   
Loading...