Pesa za Rada ni za upande mmoja tu wa Mungano?

Sonara

JF-Expert Member
Oct 2, 2008
726
68
Serekali ya Mungano wa (Tanganyika +Zanzibar )Tanzania iwe makini katika mgao wa pesa za Rada, Zanzibar wapewe sehemu,ambazo zimeanza kulipwa kwa serekali ya Tanzania .
 
washaplan ziende kuhonga arumeru. Mwigulu Nchemba a.k.a. Lameck Mahelu anasubiri pia kununulia tindikali. Zenj hampo
 
Zanzibar Mchango wake kwenye muungano wa serikali is very negligible close to zero ! Hawastahili hata sumuni
 
kwani mambo ya usafiri wa anga yapo kwenye muungano? nichofahamu mambo ya usafiri hayapo kwenye muungano, rejea spice islander saga
 
Kama sikosei hela za rada zilitoka kwenye wizara ya fedha na ile ya ujenzi au uchukuzi ambazo kimsingi sio wizara za Muungano.
 
Back
Top Bottom