Makao makuu UDP yapigwa mnada!!

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
kwa taarifa ni kwamba mmiliki wa nyumba ambayo inatumika kama makao makuu ya chama cha UDP alishindwa kulipa deni na kupelekea nyumba hiyo kupigwa mnada.sijapata uhakika kwamba mnada huo ulijumuisha mali za UDP au la.
pia nilitegemea UDP ya bwana mapesa ingeweza kununua nyumba hiyo lakini hilo halikutokea.

hivi cheyo alipokuwa anaahidi kuwajaza watu mapesa alimaanisha nini hasa?

hali ya kifedha katika vyama vyetu vya siasa hasa upande wa upinzani zinatia mashaka sana.

011.jpg
 
hakuna upinzani Tanzania,makao makuu gani haya machafu namna hii

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
naona bango la utambulisho wa ofisi za chama limeegeshwa kwenye mti halafu chin i ya huo mti kuna jalala
 
Huyu Cheyo naona kama ana mikosi, ni si juzijuzi tu myumba yake ilipigwa mnada pale mikocheni?
 
Hiyo nyumba ipo sehemu gani?

panda bajaji mpaka mwananyamala mbele ya komakoma kuna sehemu inaitwa msaada garage.ingia kulia kama unatokea vijana utakuta dimbwi kubwa la maji,ukilivuka hilo dimbwi la maji na tope nenda kushoto nyumba ya tatu upande wa kulia.kwa ufupi ni mtaa wa ilemela.
 
UDP is rated to suiticase political party. Chama kipo kwenye laptop ya Cheyo. Leo hii Cheyo akidondoka (mungu aipushe hili) hakutakuwa tena na jina la UDP katika mafaili ya kilaza, kibaraka, mbeya, mchumia tumbo, Tendwa
 
Back
Top Bottom