Kafulila Tunakutaka Arumeru

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Kafulila ni mwanamapinduzi. Ana uwezo mkubwa wa kuangalia beyond NCCR. Tunakuomba uonyeshe uzalendo na ukomavu wako kwa kwenda kuwasaidia chadema kwenye kampeni Arumeru. Ukifanya hivyo imani ya wanachadema kwako itarudi na taswira yako kisiasa itazidi kung'aa
 
Kafulila acha kujifagilia mwenyewe
 
Cdm hatuna shida naye, tunawapambanaji kibao. Aende zako huyo Kafulila, tushafukuza cku nyingi.
 
Ukweli unabaki ulivyo, Kafulila ni mwanamapinduzi. Akienda Arumeru ata add some value na ataonyesha ni mpinzani wa kweli. Si unakumbuka kauli zake za "serikali legelege" ambayo isingeweza kutolewa na mbunge wa CUF au NCCR? Anafanania zaidi chadema na wana share values na background
 
Kafulila ni mwanamapinduzi. Ana uwezo mkubwa wa kuangalia beyond NCCR. Tunakuomba uonyeshe uzalendo na ukomavu wako kwa kwenda kuwasaidia chadema kwenye kampeni Arumeru. Ukifanya hivyo imani ya wanachadema kwako itarudi na taswira yako kisiasa itazidi kung'aa
Hana jipya huyo acha akae na nccr yake atatuletea nuksi
 
Hamumtakii mema nyie! Ni pale atakapotia pua Arumeru na CHADEMA ndo atajua nani mwenye dola nchi hii kule kufukuzwa kwake NCCR Mageuzi kutakuwa officially ratified! Hebu ajaribu aone.....!
 
kafulila njoo bhana arumeru uongeze nguvu kwan tunakubali uwezo wako ktk kujenga hoja, welcom kafulila..........
 
Back
Top Bottom